Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Kinachonisikitisha siyo hatua ya kusafirishwa mke wake kwenda Kenya. Lah! Kinachonisikitisha ni hatua ya Nkuruzinza kuwaaminisha raia wa nchi yake ya Burundi kuwa ni nchi ya Mungu hivyo haitashambuliwa na COVID 19.

Matokeo yake Burundi ni moja ya nchi chache sana duniani zinazochukua hatua za hovyo kupita kiasi katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu.

Rais anatumia madaraka yake kumpa tiba ya uhakika mke wake, vipi raia wanaougua wasio na uwezo huku serikali ya Burundi ikijitoa ufahamu kuhusu madhara ya ugonjwa huu?

Screenshot_20200529-154332_Twitter.jpg
 
Hayo ndyo matokeo ya kuwa na viongozi wasioshaurika,waliozaliwa wanajua kila kitu Let nature teach them a lesson
 
Back
Top Bottom