Halafu ikawa aje jirani wenu toka hapo Burundi akatize hizo anga zote hadi Nairobi kama madai yako ni kweli?. 🤣Uongo,nchi zenye huduma bora kusini mwa jangwa la sahara ni Tanzania na afrika kusini hata wakenya wengi huwa wanakuja tz kutibiwa.
Si ameamua mwenyewe ?huku wagonjwa karibu wote wanakaribia kupona.Halafu ikawa aje jirani wenu toka hapo Burundi akatize hizo anga zote hadi Nairobi kama madai yako ni kweli?. [emoji1787]
Huo uamuzi wake uko na sababu sio bure. Mbali na wagonjwa kupona, huko tuliambiwa hata maambukizi hakuna. Hongera kwa Tanzania kuwa nchi ya kwanza dunia mzima kutokomeza gonjwa la korona baada ya maambukizi!. 🤣🤣Si ameamua mwenyewe ?huku wagonjwa karibu wote wanakaribia kupona.
Shahada ya uuguzi ya Tz haitambuliwi popote ila Tz pekee. Iwapo unayatilia shaka haya, nenda kamuulize muuguzi yeyote. Iweje sasa muwe bora???Uongo,nchi zenye huduma bora kusini mwa jangwa la sahara ni Tanzania na afrika kusini hata wakenya wengi huwa wanakuja tz kutibiwa.
Kando na Aga khan ambayo ni ya mabeberu jinsi mnavyosema kila uchao, ni hospitali ipi iliyopo? Na wanaofanya kazi kule asilimia kubwa ni kina nani?The best hospital ni Aga khan?
Na Tz hakuna Aga Khan?
Kwanini Mrs nkuruzinza hamkumpeleka govt hospital?Kando na Aga khan ambayo ni ya mabeberu jinsi mnavyosema kila uchao, ni hospitali ipi iliyopo? Na wanaofanya kazi kule asilimia kubwa ni kina nani?
Iyo story kawasimulie watot wa kenya siy hapaKenya ni nchi iliyopiga hatua kubwa Sana kwenye sector ya afya,haina mpinzani kusini mwa jangwa la sahara
Hili swali halina mashiko. Mwanzo jiulize mbona hakuja Tz. Kisha hospitali iliyoko nchi fulani wafanyikazi asilimia kubwa ni wananchi wa hapo. Aga khan pia ina tawi pale kisumu ila hakuenda humo. Utaalamu wa wafanyikazi ndio chanzo cha chaguo fulani.Kwanini Mrs nkuruzinza hamkumpeleka govt hospital?
Nimeshaona watu wengi tu wanaokuwa referred kwenda Nairobi kutibiwa,huu Ni ushahidi wa wazi kabisa,Kenya iko juu sector ya afyaIyo story kawasimulie watot wa kenya siy hapa
Nchi ya kibepari tunajali pesa, msije kwa njaa zenu kutuambukiza corona na umaskini wenu.
Wewe nani kakuambia Watanzania wengi madactari wameajiriwa kwenye nchi za kusini mwa afrika kama Botswana. Elimu ya Kenya ndo haina ishu.Shahada ya uuguzi ya Tz haitambuliwi popote ila Tz pekee. Iwapo unayatilia shaka haya, nenda kamuulize muuguzi yeyote. Iweje sasa muwe bora?
Waongea mambo usiyoyajuaWewe nani kakuambia watanzania wengi madactari wameajiriwa kwenye nchi za kusini mwa afrika kama Botswana. Elimu ya Kenya ndo haina ishu.
Aga khan ipo pia Tanzania lakini sio best hospital kuliko yote ingawa pia wako vizuri.Kando na Aga khan ambayo ni ya mabeberu jinsi mnavyosema kila uchao, ni hospitali ipi iliyopo? Na wanaofanya kazi kule asilimia kubwa ni kina nani?
Nisiyoyajua kivipi wakenya bwana msishindane na tz kwa sababu mko ovyo sana.Waongea mambo usiyoyajua
Madaktari wengi tu kutoka Tanzania wameajiriwa huko nchi zilizo kusini mwa Afrika.Waongea mambo usiyoyajua
Ubishi hausaidii haswa na mbumbumbu kama wewe. Wajua ratiba ya udaktari ni moja na yafuatwa East Africa kote? Bila shaka huna habari. Mwishowe ni nchi iliyo na trainers wazuri ndio itatoa madaktari wazuri. Na ratiba hio ilitoka Uganda ambao pia wamezembea.Nisiyoyajua kivipi wakenya bwana msishindane na tz kwa sababu mko ovyo sana.