EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kusini mwa jangwa la sahara??? Umeandika ukiwa utimamu wa akili? Yaani Kenya inaizidi SOUTH AFRICA NA NIGERIA?Kenya ni nchi iliyopiga hatua kubwa Sana kwenye sector ya afya, haina mpinzani kusini mwa Jangwa la Sahara.
Nigeria iko kusini mwa Sahara?Kusini mwa jangwa la sahara??? Umeandika ukiwa utimamu wa akili? Yaani Kenya inaizidi SOUTH AFRICA NA NIGERIA?
Hii hospital lazima itakuwa iko makini Sana na hili gonjwa,no wonder vibopa wanakimbilia huko
List of Sub-Saharan African CountriesNigeria iko kusini mwa Sahara?
| Angola Benin Botswana Burkina Faso Burundi Cameroon Cape Verde Central African Republic Chad Comoros Congo (Brazzaville) Congo (Democratic Republic) | Côte d'Ivoire Djibouti Equatorial Guinea Eritrea Ethiopia Gabon The Gambia Ghana Guinea Guinea-Bissau Kenya Lesotho Liberia | Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mozambique Namibia Niger Nigeria Réunion Rwanda Sao Tome and Principe Senegal | Seychelles Sierra Leone Somalia South Africa Sudan Swaziland Tanzania Togo Uganda Western Sahara Zambia Zimbabwe |
Kha..!!,mbona Kama nchi zote ziko kusini mwa Sahara?,hii terminology haikupaswa kutumika,iko meaninglessList of Sub-Saharan African Countries
Angola
Benin
Botswana
Burkina Faso
Burundi
Cameroon
Cape Verde
Central African Republic
Chad
Comoros
Congo (Brazzaville)
Congo (Democratic Republic)Côte d'Ivoire
Djibouti
Equatorial Guinea
Eritrea
Ethiopia
Gabon
The Gambia
Ghana
Guinea
Guinea-Bissau
Kenya
Lesotho
LiberiaMadagascar
Malawi
Mali
Mauritania
Mauritius
Mozambique
Namibia
Niger
Nigeria
Réunion
Rwanda
Sao Tome and Principe
SenegalSeychelles
Sierra Leone
Somalia
South Africa
Sudan
Swaziland
Tanzania
Togo
Uganda
Western Sahara
Zambia
Zimbabwe
View attachment 1465477
Ila umeelewa mkuu?Kha..!!,mbona Kama nchi zote ziko kusini mwa Sahara?,hii terminology haikupaswa kutumika,iko meaningless
Tandale matumboni au ?Mi nipo Tandale
I can't waste my time on such trash media
acha kujigamba ujinga wewe,huyo mkewe asipopona utatueleza nini!!!!??Endeleeni kuponda media wakati zinatahadharisha, haya leo mdogo wenu Nkuruziza kapiga chini, alikua mkaidi hataki kuskliza mambo ya corona, aliamua kuwaiga nyie watu kwa huo utopolo wenu wa kukaidi, mkewe tunamuuguza huku nafuu yake kawahi Kenya mapema.
Halafu we usidhani mi ni kilaza kama wewe..nipe official statement kuwa nkuruzinza kafa kwa corona..Endeleeni kuponda media wakati zinatahadharisha, haya leo mdogo wenu Nkuruziza kapiga chini, alikua mkaidi hataki kuskliza mambo ya corona, aliamua kuwaiga nyie watu kwa huo utopolo wenu wa kukaidi, mkewe tunamuuguza huku nafuu yake kawahi Kenya mapema.
Halafu we usidhani mi ni kilaza kama wewe..nipe official statement kuwa nkuruzinza kafa kwa corona..
Usituletee habari za media uchwara ntv
Nasikia hata family yake,mpaka mama mzazi wako hoi kule ngoziCorona kaua bwanake
Huna hoja wewe,it seems kichwa chako kimejazwa kamasi tu..Rais na mapesa yake yote kalambwa na kirusi, halafu kajamba wa Tandale na umaskini wote atunishe misuli akiimba mapambio....