Mkiachana na mwanamke hakuna mgao wa mali. Anatakiwa aondoke na begi lake la nguo

Kama mnanunua kiwanja, hata kama pesa yote anatoa mwanaume, inatakiwa udai paleoale majina yaandikwe yote mawili, akikataa, dai talaka papo hapo. Sio unasubiri mwenzako anapambana kujenga majumba na kunujua magari, wakati huo huo anakuhudumia kwankila kitu oamoja na watoto wako, we kazi yako kushinda na Irene Uwoya kubadili mawigi na kwenda Mbudya Isalnd kila weeekend, halafu mwisho wa siku unarubuniwa na kibenten unadai talaka upate mali?!

Hii inapelekea baadhi ya wanaume kukodi majanbazi kummaliza mke ili kuepuka utapeli wa talaka
 

Nimecheka!
Eti kushinda na Irene Uwoya πŸ˜‚
 
Binafsi kibongo bongo huwa siamini katika kupeana distance/space kwenye mahusiano
Unampea mtu space huku nyuma yeye anajipea space na new girl

Kupeana distance haiwork kiTanzania na wanaume wetu hawa
I believe in kupeana distance, sometimes watu Wana hitaji kuwa wenyewe ili kukaa sawa.

but Kama mko real, you fight it bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…