Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
naelewa, you're being fair, ila wengi Wana weza wasi kuelewe.Am trying to be fair comrade 😆
hasa gen z, au watu wenye malengo ya kuvuna wasipo panda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naelewa, you're being fair, ila wengi Wana weza wasi kuelewe.Am trying to be fair comrade 😆
Kabisa yaaniAnatuwakilisha vyema
Duh!Hauoni unajiandaa kuachana kabla ya ndoa kwa idea hiyo?
Comrade Joanah ume wekwa special place😁😂Na hiyo mahari anaweza kukataa isitolewe kwa hofu ya kuonekana amenunuliwa kama mfugo.
kweli comrade, kinacho tuponza ni watu kuanza ku feel kuwa entitled na vitu vya watu.Au sio 😂
Na hiyo mahari anaweza kukataa isitolewe kwa hofu ya kuonekana amenunuliwa kama mfugo.
Hapana bro, kaji tengenezea mazingira mazuri, kujua mipaka yako ni jambo zuri.Duh!Hauoni unajiandaa kuachana kabla ya ndoa kwa idea hiyo?
na kwanini tubwagane, tuna peana distance kidogo.Mahari ni kitu muhimu
Kwanza mahari hatuihesabii kwenye makato yetu siku tukibwagana
Kama mnanunua kiwanja, hata kama pesa yote anatoa mwanaume, inatakiwa udai paleoale majina yaandikwe yote mawili, akikataa, dai talaka papo hapo. Sio unasubiri mwenzako anapambana kujenga majumba na kunujua magari, wakati huo huo anakuhudumia kwankila kitu oamoja na watoto wako, we kazi yako kushinda na Irene Uwoya kubadili mawigi na kwenda Mbudya Isalnd kila weeekend, halafu mwisho wa siku unarubuniwa na kibenten unadai talaka upate mali?!Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha
Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references
Ubaya Ubwela
Aisee mnatakiwa mrudishe ng'ombe wangu.Kitanuka mbaya mnoo!Mahari ni kitu muhimu
Kwanza mahari hatuihesabii kwenye makato yetu siku tukibwagana
na kwanini tubwagane, tuna peana distance kidogo.
Ili kuweka mambo sawa
Yaani, nitafute mimi alafu tugawane na Binti wa mtu??..Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Hata wale wanaopiga magoti wakati wa kuwavisha pete wachumba wao (wake wao)nao hawaaminiki?Binafsi kibongo bongo huwa siamini katika kupeana distance/space kwenye mahusiano
Unampea mtu space huku nyuma yeye anajipea space na new girl
Kupeana distance haiwork kiTanzania na wanaume wetu hawa
Kama mnanunua kiwanja, hata kama pesa yote anatoa mwanaume, inatakiwa udai paleoale majina yaandikwe yote mawili, akikataa, dai talaka papo hapo. Sio unasubiri mwenzako anapambana kujenga majumba na kunujua magari, wakati huo huo anakuhudumia kwankila kitu oamoja na watoto wako, we kazi yako kushinda na Irene Uwoya kubadili mawigi na kwenda Mbudya Isalnd kila weeekend, halafu mwisho wa siku unarubuniwa na kibenten unadai talaka upate mali?!
Hii inapelekea baadhi ya wanaume kukodi majanbazi kummaliza mke ili kuepuka utapeli wa talaka
😂😂😂Aisee mnatakiwa mrudishe ng'ombe wangu.Kitanuka mbaya mnoo!
Yaani, nitafute mimi alafu tugawane na Binti wa mtu??..
I believe in kupeana distance, sometimes watu Wana hitaji kuwa wenyewe ili kukaa sawa.Binafsi kibongo bongo huwa siamini katika kupeana distance/space kwenye mahusiano
Unampea mtu space huku nyuma yeye anajipea space na new girl
Kupeana distance haiwork kiTanzania na wanaume wetu hawa
Hata wale wanaopiga magoti wakati wa kuwavisha pete wachumba wao (wake wao)nao hawaaminiki?
Moja kati ya kitu sito fanya, ni kupiga magoti broo😂🤣Hata wale wanaopiga magoti wakati wa kuwavisha pete wachumba wao (wake wao)nao hawaaminiki?
I believe in kupeana distance, sometimes watu Wana hitaji kuwa wenyewe ili kukaa sawa.
but Kama mko real, you fight it bhana