Mkiachana na mwanamke hakuna mgao wa mali. Anatakiwa aondoke na begi lake la nguo

Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha

Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references

Ubaya Ubwela
Kama mnanunua kiwanja, hata kama pesa yote anatoa mwanaume, inatakiwa udai paleoale majina yaandikwe yote mawili, akikataa, dai talaka papo hapo. Sio unasubiri mwenzako anapambana kujenga majumba na kunujua magari, wakati huo huo anakuhudumia kwankila kitu oamoja na watoto wako, we kazi yako kushinda na Irene Uwoya kubadili mawigi na kwenda Mbudya Isalnd kila weeekend, halafu mwisho wa siku unarubuniwa na kibenten unadai talaka upate mali?!

Hii inapelekea baadhi ya wanaume kukodi majanbazi kummaliza mke ili kuepuka utapeli wa talaka
 
Nimecheka!
Eti kushinda na Irene Uwoya 😂
 
Binafsi kibongo bongo huwa siamini katika kupeana distance/space kwenye mahusiano
Unampea mtu space huku nyuma yeye anajipea space na new girl

Kupeana distance haiwork kiTanzania na wanaume wetu hawa
I believe in kupeana distance, sometimes watu Wana hitaji kuwa wenyewe ili kukaa sawa.

but Kama mko real, you fight it bhana
 
Back
Top Bottom