johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ili Chadema ife Mbowe ni lazima ashinde kwa Msaada wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangapi? Wataje.Ila ni kweli, wajumbe wengi wapigakura ni wachagga.
Yeye ni: ALFA NA OMEGAHabari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Nimeona Jana: star tv inavoonekana Hawa wamezoeana na hizi aibu.. yaani Jana huyo jamaa na mwenzake anamzalilisha kwanza Hadi Nyerere.. yaani wanaongea pumba tupu na mwenzake NTOBI..Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Nimeona Jana: star tv inavoonekana Hawa wamezoeana na hizi aibu.. yaani Jana huyo jamaa na mwenzake anamzalilisha kwanza Hadi Nyerere.. yaani wanaongea pumba tupu na mwenzake NTOBI..
Munatumia nguvu sana kumshawishi Mbowe ajitoe, why?? Kujitoa tena!!! Thubutu!!Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Munatumia nguvu sana kumshawishi Mbowe ajitoe, why?? Kujitoa tena!!! Thubutu!!
Mkuu tusaidie, kwani jumla ya wajumbe wanaopiga kura huwa wako wangapi?Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Achana na vijana kama tpaul na wenzake. Siasa za kitanzania tulianza nazo tangu kitangazwa kwa vyama vingi. Convoy ya mtikila tulikuwemo. Kwa uzoefu wangu, wachagga watakuvimbisha kichwa kuwa wanakupenda ili ujisahau lakini mwisho wa yote, kura watampa mchagga mwenzako. Lissu asijidanganye. Kazi anayo na asipokuwa makini, chali.Ila ni kweli, wajumbe wengi wapigakura ni wachagga.
🤣🤣Itakua tundu....
..Ni Hayo Tu!!
Kukusaidia, unaujua Uchaguzi wa mwenyekiti wa TLP ambapo Mrema alikuwa anagombea na Mtungirehi wewe? Jinsi Mtungirehi alivyokuwa anashabikiwa, nini kilimpata mbele ya Wachagga katika sanduku la Kura hadi Mrema akamtimua TLP. We acha tuUna facts au unaropoka tu mkuu?
Unavuka mipaka bwashe😁CCM acha wajifunze jinsi uchaguzi unaendeshwaMambo yamekuwa mazuri. Ushindani huu ndio Mzuri
CCM nao watoe fomu zaidi ya moja watu watunishiane misuli
Sema Mmachame mana hata Wachagga wenzake hawataki aendelee .Hata familia yake haitaki aendelee.Msingida amshinde Mchagga! Haijawahi kutokea bwashee
Hizo ni mbinu za ushindiSema Mmachame mana hata Wachagga wenzake hawataki aendelee .Hata familia yake haitaki aendelee.
Kiufupi Mboo wee anawatia aibu Wachagga .
Unavuka mipaka bwashe😁CCM acha wajifunze jinsi uchaguzi unaendeshwa