Pre GE2025 Mkiambiwa Mbowe hatoboi muwe mnaelewa

Pre GE2025 Mkiambiwa Mbowe hatoboi muwe mnaelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Habari za jumapili.

Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.

Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.

Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.

Haya. Aibu ya kujitakia hii
Yeye ni: ALFA NA OMEGA
Atapata msaada wa kutoka Kitengo.Lazima ashinde.
 
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Nimeona Jana: star tv inavoonekana Hawa wamezoeana na hizi aibu.. yaani Jana huyo jamaa na mwenzake anamzalilisha kwanza Hadi Nyerere.. yaani wanaongea pumba tupu na mwenzake NTOBI..
 
Nimeona Jana: star tv inavoonekana Hawa wamezoeana na hizi aibu.. yaani Jana huyo jamaa na mwenzake anamzalilisha kwanza Hadi Nyerere.. yaani wanaongea pumba tupu na mwenzake NTOBI..

Nyerere anabahati mbaya Sana watu wanaojiita majina yake karibu wote ni low IQ
 
Habari za jumapili.

Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.

Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.

Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.

Haya. Aibu ya kujitakia hii
Munatumia nguvu sana kumshawishi Mbowe ajitoe, why?? Kujitoa tena!!! Thubutu!!
 
Ila ni kweli, wajumbe wengi wapigakura ni wachagga.
Achana na vijana kama tpaul na wenzake. Siasa za kitanzania tulianza nazo tangu kitangazwa kwa vyama vingi. Convoy ya mtikila tulikuwemo. Kwa uzoefu wangu, wachagga watakuvimbisha kichwa kuwa wanakupenda ili ujisahau lakini mwisho wa yote, kura watampa mchagga mwenzako. Lissu asijidanganye. Kazi anayo na asipokuwa makini, chali.
 
Una facts au unaropoka tu mkuu?
Kukusaidia, unaujua Uchaguzi wa mwenyekiti wa TLP ambapo Mrema alikuwa anagombea na Mtungirehi wewe? Jinsi Mtungirehi alivyokuwa anashabikiwa, nini kilimpata mbele ya Wachagga katika sanduku la Kura hadi Mrema akamtimua TLP. We acha tu
 
Lissu hatashinda, hashindi.

Mbowe atashinda, na Chadema itapunguza ushawishi Kwa waTanzania baada ya hapo.
 
Msingida amshinde Mchagga! Haijawahi kutokea bwashee
Sema Mmachame mana hata Wachagga wenzake hawataki aendelee .Hata familia yake haitaki aendelee.
Kiufupi Mboo wee anawatia aibu Wachagga .
 
Kuna nyakati Mungu uwapa watu roho ngumu, ili ifanyike namna Yeye anavyotaka! Musa vs Pharaoh!

Nawakumbusha tu, zile risasi za Lisu, kama asingekuwa Mungu, Lisu asingekuwepo. Jiulize kwanini alinwacha! TZ ni Taifa la Mungu, hakuna namna watakuja watu wasiohofu kifo, maana walisha kiona na bado wanaishi, kuitengeneza TZ mpya!
 
Back
Top Bottom