Kabisaa yaaniManara yupo Yanga moyo wake aliuacha Simba chama kubwa
Napenda majibu yako hupanic kama Makolo wengine.Hazitawahi kuisha kwani nyie kutufunga ndo mtafanya tuwe sisimizi? Bado ni walewale miamba ya Nyika yani King of the Jungle
Africa Mashariki au Africa?Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chiniView attachment 2023992View attachment 2023993
Arsenal kawazidi followers hao wote.Kwahyo kwa sbb Arsenal wapo vibaya kwa sasa ndo inaitoa kwenye ukubwa wake? Au kupoteza mashabiki zake waaaminifu?
Kalieni followers tu, mtapasuka 11 Dec.Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chiniView attachment 2023992View attachment 2023993
nanukuu "' Young Africans ilikuwa na wafuasi waliokuwa hawana elimu sana"Yanga ni tim ya wasio na elim na watu duni wasio na mbele wala nyuma tangia nchi haijapata uhuru mpaka sasa.
cc msukule manara
[emoji116]View attachment 2024739