Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

Ni aibu timu hizi 'kubwa' kutokuwa hata na viwanja vyake. Timu ya mpira na haina uwanja wa mpira.
 
Mnaanza kuuona japo kidogo kidogo ukubwa wetu leo?
 
Kwahyo kwa sbb Arsenal wapo vibaya kwa sasa ndo inaitoa kwenye ukubwa wake? Au kupoteza mashabiki zake waaaminifu?
Arsenal kawazidi followers hao wote.

Je hiko kinafaa kumfanya awe bora kati ya wale aliowazidi followers...?
 
Back
Top Bottom