THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Sasa dawa ya kibaka ni nini?wewe si Muislam wewe??? du waafrika kazi kweli
Nyinyi si hodari wa kuchoma waizi moto nyinyi,sasa askari wakiwalamba shaba waizi kuna kosa gani
Hata wasingechoma chochote bado wangeuliwa. Tuna uzoefu maandamano ya kupinga utawala wa majizi. Kama rais alipanga atangazwe kwa kura 31m ambazo hakuna hao wapiga kura, unadhani angekubali maandamano ya aina yoyote? Hata hivyo ni wapi kuna maandamano ya kupinga dhuluma ya watawala yasiyo na uharibifu?
Basi tarehe 9 december tunarudi barabarani bila kuharibu chochote uone kama tutakubaliwa. Usiache kuanzisha uzi wa kuunga mkono hayo maandamano ya amani.
Hata haya mlisema ni maandamano ya amani vile vile
Ngedere huwezi tena kuachiwa shamba la mahindi,ukitoka aga kabisa ndugu na jamaa..
Sababu wimbo wa parapanda litalia utakuhusu.