THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Sasa dawa ya kibaka ni nini?wewe si Muislam wewe??? du waafrika kazi kweli
Hata wasingechoma chochote bado wangeuliwa. Tuna uzoefu maandamano ya kupinga utawala wa majizi. Kama rais alipanga atangazwe kwa kura 31m ambazo hakuna hao wapiga kura, unadhani angekubali maandamano ya aina yoyote? Hata hivyo ni wapi kuna maandamano ya kupinga dhuluma ya watawala yasiyo na uharibifu?
Basi tarehe 9 december tunarudi barabarani bila kuharibu chochote uone kama tutakubaliwa. Usiache kuanzisha uzi wa kuunga mkono hayo maandamano ya amani.
Nikifa mimi sio tatizo wako wengine wataitumia. Tulikuwa tunakosa ujasiri wa pamoja tu. Kwa sasa ujasiri ni tayari. Chawa na majizi ya ccm mkae tayari. Hakikisheni mnaanda magereza yawe vizuri maana nyie ni wafungwa watarajiwa. Mna option mbili tu, kuleta mabadiliko tuyatakayo tena kwa lazima na sio ombi. Ama mshupaze shingo utokee umwagaji mkubwa wa damu, lakini nyie mtaishia jela, ama kula kitanzi hadharani. Chawa tunza hii post, tutaitumia kama rejea.Hiyo silaha utaitafuta miaka 10 na siku ukiipata utakufa kabla huja pull trigger, kenge wewe
Kama unatarajia watu tutakuwa mafala muda wote, basi umeukalia. Lazima tutafute silaha safari hii. Hapo ndio tutaheshimiana. Lockdown ya juzi itakuwa cha mtoto. Kwa raia akizika, na polisi atakuwa anazika sehemu ya familia yake. Wakati huo huo viongozi wa ccm nao watakuwa wanazika. Nyumba zenu tunazifahamu. TulItest mitambo tu kidogo juzi, leo hii hakuna mwanaccm anathubutu kuvaa sare ya ccm.Sasa dawa ya kibaka ni nini?
Nyinyi si hodari wa kuchoma waizi moto nyinyi,sasa askari wakiwalamba shaba waizi kuna kosa gani
Hata haya mlisema ni maandamano ya amani vile vile
Ngedere huwezi tena kuachiwa shamba la mahindi,ukitoka aga kabisa ndugu na jamaa..
Sababu wimbo wa parapanda litalia utakuhusu.
😀😀kabisa halafu hata mm nilifikiri hawa ni adhabu gani itawafaa hiyo ni nzuri sanaTena this time wanabidi wapakwe KY kwanza kabla ya yote macho.ko hao
Waislaam wanasimama na haki yaa Akhee!! Huwezi linganisha uhai wa mtu na vitu..Wacha mungu wangapi wamedhulumiwa uhai wao?? Hata kama sio wacha Mungu wangezaa wacha Mungu Unajuwa fika hata asiekuwa na dini Huna ruhusa kumtowa uhai wake pasipokuwa na sababu, wewe ulikuwa hodari kuitete Palestina leo kimekupata nini??? Hili zigo mungemuachia mwenyewe..remember kabulini utakuwa pekeyako yaa Akhee.Sasa dawa ya kibaka ni nini?
Nyinyi si hodari wa kuchoma waizi moto nyinyi,sasa askari wakiwalamba shaba waizi kuna kosa gani
Hata haya mlisema ni maandamano ya amani vile vile
Ngedere huwezi tena kuachiwa shamba la mahindi,ukitoka aga kabisa ndugu na jamaa..
Sababu wimbo wa parapanda litalia utakuhusu.