data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
🤣🤣🤣Unataka aumie na bodaboda. Muwe na rais boda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Unataka aumie na bodaboda. Muwe na rais boda
CCM hawawezi ruhusu hili litokee..Pendekezo Turuhusu Wagombea Binafsi tupimane nguvu
Jacob Kuna substance kwenye hoja Yako lkn ofisi ya rais ni ya maamuzi ya mwisho inahitaumature ingawa hata wahuni huzeeka ndipo tunapopata hao uliowataja.Unamjua RAIS Bongo wa Gabon, RAIS wa Gambia,RAIS wa Cameroon, RAIS Mwai Kibali Kenya, RAIS Mseveni Uganda, RAIS Kagame Rwanda?
Hawa ni mature sana kutokana na hoja yako. Je, wamekosa hiyo tamaa unayoiandika?
Wassira hata kumwachia Jimbo mwanae wa kumzaa hataki Hadi kaamua akimbilie ACT wazalendoMbele ya watu kama Wasira na wahafidhina wengine hoja yako isha expire kabla haijajadiliwa
Kweli nyie ni washindia mihogoCCM hawawezi ruhusu hili litokee..
Embu imagine Kama Engineer Hersi anakua mgombea binafsi... Unafikiri wananchi tutamnyima...!?
Hata 80 unaweza kumpata Wassira.Kwa Tanzania tutapata akina Sabaya tupu bora umri uongezwe iwe hata miaka 80 tupate akina Warioba wenye hekima na busara
Ana nafuu kuliko hizi takataka za akina Sabaya ni kuiba tu zinawazaHata 80 unaweza kumpata Wassira.
Sasa Engineer unamnyimaje kura mkuu...Kweli nyie ni washindia mihogo
Kwa sifa zipi alizonazo?Sasa Engineer unamnyimaje kura mkuu...
Tunamuweka Ikulu asubuhi mapeemaaa...
Au MO arudi tena kwenye Siasa..CCM hawawezi ruhusu hili litokee..
Embu imagine Kama Engineer Hersi anakua mgombea binafsi... Unafikiri wananchi tutamnyima...!?
Wasasa wanaishije?Ili wakistaafu waishi bure kwa muda mrefu zaidi???
Kuanzia miaka 45 ambayo sio sahihi maana kipindi wanakadilia waliakisi miaka hiyo ya 1977 ila kwasasa huo umri unakataa.Kwani saivi Ni miaka mingapi!?
Ili wakistaafu waishi bure kwa muda mrefu zaidi???Wasasa wanaishije?
Kwani idadi ya RAIS huwa ni ngapi kwa awamu katika nchi hii?
Je, mpaka sasa kuna jumla ya Marais wangapi?
Acheni uoga. Huwezi kuwa na kiongozi Mzee anaeigiza kuishi kiujana. Kiongozi Kijana aendane na kundi husika. Rejea Sensa ya mwaka 2022.
Kwa ujinga wa vijana weengi mtaani kwa sasa..wanaoamua tu kuwa wapumbvu...Kuanzia miaka 45 ambayo sio sahihi maana kipindi wanakadilia waliakisi miaka hiyo ya 1977 ila kwasasa huo umri unakataa.
Umri uanze 30. Hii itasaidia kila mtu atampigia kura mgombea anayemtaka; wale wa wazee watapigia kura wazee, wale wa mabraza watapigia mabraza na kinyume chake ni kweli.Kwa ujinga wa vijana weengi mtaani kwa sasa..wanaoamua tu kuwa wapumbvu...
Then let's take it 55.....
Kabisaa.,yani age should really matter..
Si mnasema Kifo hakina umri? Sasa hofu ya kazi gani.Ili wakistaafu waishi bure kwa muda mrefu zaidi???
Tunasema mimi na nani kijana??Si mnasema Kifo hakina umri? Sasa hofu ya kazi gani.
Ndio vizuri watatusaidia katika mambo mengi kitaifa kwa mapana.
Ndio ni mawazo yako. Kuhusu hatma ya nini baada ya RAIS mwenye umri wa ujana kustaafu, utaratibu uliopo utaendelea vile vile.Tunasema mimi na nani kijana??
Hayo ni mawazo yangu