Pre GE2025 Mkiboresha Katiba kifungu cha umri Mgombea Urais kisomeke miaka 30

Pre GE2025 Mkiboresha Katiba kifungu cha umri Mgombea Urais kisomeke miaka 30

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unamjua RAIS Bongo wa Gabon, RAIS wa Gambia,RAIS wa Cameroon, RAIS Mwai Kibali Kenya, RAIS Mseveni Uganda, RAIS Kagame Rwanda?

Hawa ni mature sana kutokana na hoja yako. Je, wamekosa hiyo tamaa unayoiandika?
Jacob Kuna substance kwenye hoja Yako lkn ofisi ya rais ni ya maamuzi ya mwisho inahitaumature ingawa hata wahuni huzeeka ndipo tunapopata hao uliowataja.
 
Ili wakistaafu waishi bure kwa muda mrefu zaidi???
 
Ili wakistaafu waishi bure kwa muda mrefu zaidi???
Wasasa wanaishije?

Kwani idadi ya RAIS huwa ni ngapi kwa awamu katika nchi hii?

Je, mpaka sasa kuna jumla ya Marais wangapi?

Acheni uoga. Huwezi kuwa na kiongozi Mzee anaeigiza kuishi kiujana. Kiongozi Kijana aendane na kundi husika. Rejea Sensa ya mwaka 2022.
 
Kuanzia miaka 45 ambayo sio sahihi maana kipindi wanakadilia waliakisi miaka hiyo ya 1977 ila kwasasa huo umri unakataa.
Kwa ujinga wa vijana weengi mtaani kwa sasa..wanaoamua tu kuwa wapumbvu...
Then let's take it 55.....

Kabisaa.,yani age should really matter..
 
Kwa ujinga wa vijana weengi mtaani kwa sasa..wanaoamua tu kuwa wapumbvu...
Then let's take it 55.....

Kabisaa.,yani age should really matter..
Umri uanze 30. Hii itasaidia kila mtu atampigia kura mgombea anayemtaka; wale wa wazee watapigia kura wazee, wale wa mabraza watapigia mabraza na kinyume chake ni kweli.
 
Ili wakistaafu waishi bure kwa muda mrefu zaidi???
Si mnasema Kifo hakina umri? Sasa hofu ya kazi gani.

Ndio vizuri watatusaidia katika mambo mengi kitaifa kwa mapana.
 
Tunasema mimi na nani kijana??
Hayo ni mawazo yangu
Ndio ni mawazo yako. Kuhusu hatma ya nini baada ya RAIS mwenye umri wa ujana kustaafu, utaratibu uliopo utaendelea vile vile.
 
Back
Top Bottom