Mkienda Gym ahsubuh malizeni ya ndani kwanza jamani... jamaa kafumania jirani yake na kitaulo kisa Gym

Punguza hasira kwanza

Hizo ni nyumba za kupanga na mechi inapigwa nusu saa tu

Afu ndoa inalindwa alfajiri sio saa mbili usiku
Sasa wewe endelea kwenda jimu bila kupiga deki ukipigiwa uslalam
Itakuwa humwambia mkewe na wahi mazoezi usiku si nitakuwepo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe wenzie wanafanyia mazoezi ndani kwake, huyo mwanaume anazarau sana na sijui anajiamini nini kuingia kwa mwanaume mwenzie na je akirudi ghafula hapo alitonywa matatizo ya kujitafutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni nyumba za kupanga na mechi inapigwa nusu saa tu
Soma sredi kwanza. Jamaa kasema ati, hilo dowezi hujilaliamo hadi saa mbili. Wewe unasemaje ati game ni nusu saa tu?
 
😂😂alijua kila siku ni bei chee kumbe kuna siku vinapanda bei

Ila waliooa kuna vitu wazingatie kwanza gym aende hata jioni ahsubuh muhimu
 
Soma sredi kwanza. Jamaa kasema ati, hilo dowezi hujilaliamo hadi saa mbili. Wewe unasemaje ati game ni nusu saa tu?
Mimi ndio nimeandik sred afu hujasoma vizri

Nimesema hivi jamaa huenda tiz na kurud saa mbili mwiz nae huingia na kutoka kabla ya jamaa kurudi ila jamaa alitonywa hivyo leo hajaenda Gym alitoka na kujibanza sehemu huku akiwa kaandaa wapambe
 
Walivyovamia kama nyuki vile, huyo naye ni msela tu hana mke humo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua wakishaoa wamemaliza kumbe hawwjui ile kitu haina mazoea na haijai Inatemea nje so lazima uivizie ili walau utoe usumbufu kidogo
Halafu hapo atamsingizia mkewe hajatulia unaweza kuta hapo wana wiki anazuga tu nipo nafanya mazoezi kwanza[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walivyovamia kama nyuki vile, huyo naye ni msela tu hana mke humo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata kwatoa wapi,
Jamaa na yeye hana mke ni msela tu kama mimi
Sema ndo hivyo mwenye nyumba katukataa mabachala anataka tuhame aweke walioa tu 😂😂😂
 
Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola ila kuna mtu hana meno na marinda
😱,jamaa akawa amepata mechi maana daily alikuwa anajifua.
Huu ujirani wa kugongesha vikojoleo huwa hauachi watu salama.
 
Sijui hata kwatoa wapi,
Jamaa na yeye hana mke ni msela tu kama mimi
Sema ndo hivyo mwenye nyumba katukataa mabachala anataka tuhame aweke walioa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mna haribu ndoa za watu, huyo badala ya kutafuta mchana wake kupenda vya bure sasa si kaharibiwa na huko kabisa jamani! Anahali gani kwanza mkimtizama usoni, polisi kapelekwa au kamalizana naye humo humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi fedheha mkuu inabidi yaishe kikomando tu na jamaa had sasa hatujui alipo
Ila ndo hivyo mwenye nyumba katupa wiki moja tu tumpe mageto yake aweke wenye ndoa zao
Sema jamaa nae kzingua kweli yani karibu hapo afu kila siku inavyosemekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…