Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Itakuwa humwambia mkewe na wahi mazoezi usiku si nitakuwepo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe wenzie wanafanyia mazoezi ndani kwake, huyo mwanaume anazarau sana na sijui anajiamini nini kuingia kwa mwanaume mwenzie na je akirudi ghafula hapo alitonywa matatizo ya kujitafutiaPunguza hasira kwanza
Hizo ni nyumba za kupanga na mechi inapigwa nusu saa tu
Afu ndoa inalindwa alfajiri sio saa mbili usiku
Sasa wewe endelea kwenda jimu bila kupiga deki ukipigiwa uslalam
Sent using Jamii Forums mobile app