Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Mkuu Muha, Mkinga au Mpemba usishindane nae kwenye biashara ohooo anakupoteza kuna rafiki yangu alikuwa anabiashara Mzumbe ya mgahawa mpinzani wake kaibadilisha[emoji23][emoji23][emoji38][emoji1787] wakati wa asubuhi wateja wanaona vyakula vya mchana Ugali, Wali na chips asubuhi hiyo ikifika mchana wateja wanaona vyakula vya asubuhi vitafunwa chapati, maandazi, afkeki , sambusa bagia[emoji1787][emoji1787][emoji38].

Kilichomjulisha kuna siku rafiki yangu akamuuliza mteja wake siku izi mbona huji kula akamwambia Benedicto yaani ww mambo kinyume chamchana unapika asubuhi na asubuhi unapika mchana[emoji38][emoji38][emoji1787] jamaa alifunga. Hawa wapemba, muha na mkinga wake hawafai
 
Why aulize china ..wakat ww upo na unawafaham ..wataje ..acha ushabiki na porojo zisizo na msingi
mkuu amtaje mkinga mmoja tu kama
clement kwayu mwenye bumaco insurance yenye matawi nchi nzima
Godliving makundi mwenye kiwanda chamafuta ya family sunflower oil na sabuni za family soap,kiwanda cha magodoro qfl dodoma na msumbiji,hotel ya valley view k/koo
au raphael tesha wa raphael logistics anakodisha heavy machinery kwa bandari na mradi wa sgr na tanesco,bwawa la nyerere na miradi mingi mikubwa hana cranes zina beba mpaka tan 1000
eng david mosha mwenye interconsult na jengo kijitonyama limeandikwa interhouse opposite na milleniam tower 5% ya shares akiba bank co owner na kifaru Eng mariki njiu mwenye kilimanjaro mountain resort
eng joseph chuwa na eng severin kessy wenye tanconsult pamoja na jengo liko kabla ya sheli ya victoria accacia house la vioo liko kama yai
BIASHARA YA MAFUTA
patricki ngiloi ulomi zaid ya ptrol station 50
matemba owner wa petrol station za victoria
macheal makoi petrol station zaid ya 20 pamoja na aquillene hotel arusha shamba la miwa pangani
rahis petrol station ziko moshi tanga manyara na singida za mtoto wa ndesamburo
david mosha.kobil petrol stations na stroge kurasini
mmassy samora opposit na mapato house hq tra ni yake petrol station airport petrol station,karume petrol station,kimara kibo petrol station zake zote zko strategic area
willy tarimo ptrol station moshi tanga arusha dodoma singida dodoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pamoja na lugha yako ya ulimbo lakini walikukimbia
 
Duuuuuuuuuhh
Hiyo kubwa kuliko
 
Maneno kama haya ndiyo yamefanya yule Mkinga akawapeleka wenzake kwa mganga wakaongeze wateja wa biashara, na wakaishia kufia kwa mganga na kufukiwa porini.

Ova
 
Kuna vitu tunadanganyana sana, ukifuatilia kwa karibu na ukafuata kanuni zote za biashara ila kibali huna kutoka kwa Mungu/ familia/mizimu hutoboi hata iweje.
 
Tatizo wengi wetu tunashangilia kabla mechi haijaisha. Bila nidhamu ya pesa utaendelea kuwasifia wakinga. Wakinga hawajidanganyi na misemo ya kikuda kama vile "Ukitafuta hela usisahau kuishi" ili kuhalalisha ulaji wa bata.
 
Kuna vitu tunadanganyana sana, ukifuatilia kwa karibu na ukafuata kanuni zote za biashara ila kibali huna kutoka kwa Mungu/ familia/mizimu hutoboi hata iweje.
tunapataje hivyo vibali mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…