"Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

"Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

Sheria za ndoa zibadirike isiwe hizi zamkoloni ziaze ndoa za mikataba miaka miwili ikiisha tukiamua kurenew tunafanya tukiamua kuvunja tunavunja
Mkuu unapatikana wapi 2025 tukupigie kura
Ila ongeza hoja ziwe hata 10 hivi bungeni unaingia tu
 
Sheria za ndoa zibadirike isiwe hizi zamkoloni ziaze ndoa za mikataba miaka miwili ikiisha tukiamua kurenew tunafanya tukiamua kuvunja tunavunja
Mi naona kuwe na probation period isiyopungua miaka miwili kabla ya kuoa kabxaa....hii najua tu ndan ya huo muda lazma ataonesha rangi yake halisi...hii ya kubebana bebana ndo inasababisha risasi zinarindima nyumban kwa watu
 
wacha fikra potofu wewe....kama uko kamili....kifikra na kimtazamo........mnaachana vema kabisa.....yes kuna mmoja ATABWEKA.....but inawezekana KABISA......na mkatunza watoto.........aidha kwa kukubaliana au kwa KUTOKUKUBALIANA.....maisha ni mafupi sana...na matamu sana..........USIYAFUPISHE.....kwa upuuzi.....
Haya
 
Attachments

  • IMG-20220531-WA0036.jpg
    IMG-20220531-WA0036.jpg
    30.1 KB · Views: 10
Mi naona kuwe na probation period isiyopungua miaka miwili kabla ya kuoa kabxaa....hii najua tu ndan ya huo muda lazma ataonesha rangi yake halisi...hii ya kubebana bebana ndo inasababisha risasi zinarindima nyumban kwa watu
Hapana labda uikute bikra yake pia jitahidi sana kuelewa kwann wasimbe kwasasa wako kibao
 
Sa ikishatokea utafanyaje mkuu???cha nsingi haiwi mwisho wa dunia
 
Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo.

Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k.

Kwa mtu yoyote awe wa kike au wa kiume, ambaye anajitoa haswa kujenga family yake au kumtunza "Mpenzi" wake hawezi kuvumilia such nonsense KAMWE na kama yupo basi ni 1/100.

Tuacheni unafiki kwenye mambo ambayo hayajawahi kukuteni.
Naam
 
Back
Top Bottom