Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Mkuu unapatikana wapi 2025 tukupigie kuraSheria za ndoa zibadirike isiwe hizi zamkoloni ziaze ndoa za mikataba miaka miwili ikiisha tukiamua kurenew tunafanya tukiamua kuvunja tunavunja
Mi naona kuwe na probation period isiyopungua miaka miwili kabla ya kuoa kabxaa....hii najua tu ndan ya huo muda lazma ataonesha rangi yake halisi...hii ya kubebana bebana ndo inasababisha risasi zinarindima nyumban kwa watuSheria za ndoa zibadirike isiwe hizi zamkoloni ziaze ndoa za mikataba miaka miwili ikiisha tukiamua kurenew tunafanya tukiamua kuvunja tunavunja
Hayawacha fikra potofu wewe....kama uko kamili....kifikra na kimtazamo........mnaachana vema kabisa.....yes kuna mmoja ATABWEKA.....but inawezekana KABISA......na mkatunza watoto.........aidha kwa kukubaliana au kwa KUTOKUKUBALIANA.....maisha ni mafupi sana...na matamu sana..........USIYAFUPISHE.....kwa upuuzi.....
Hapana labda uikute bikra yake pia jitahidi sana kuelewa kwann wasimbe kwasasa wako kibaoMi naona kuwe na probation period isiyopungua miaka miwili kabla ya kuoa kabxaa....hii najua tu ndan ya huo muda lazma ataonesha rangi yake halisi...hii ya kubebana bebana ndo inasababisha risasi zinarindima nyumban kwa watu
Sawa kabisaMmmh msituhudumie bac Tuacheni tujihudumie
NaamKuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo.
Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k.
Kwa mtu yoyote awe wa kike au wa kiume, ambaye anajitoa haswa kujenga family yake au kumtunza "Mpenzi" wake hawezi kuvumilia such nonsense KAMWE na kama yupo basi ni 1/100.
Tuacheni unafiki kwenye mambo ambayo hayajawahi kukuteni.