comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mdude Chadema @mdudechadematz
Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi ya madarasa 25
Clouds Media
Wanafunzi 484 wa darasa la Pili katika shule ya Msingi Butibu iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wanalazimika kusomea chini ya miti baada ya madarasa manne ya shule hiyo kubomolewa mvua kubwa iliyoambatana na upepo Novemba 15 mwaka 2022.