Wewe ndio hujaelewa hoja yake ni PRIORITY.... Yaani wako radhi wanafunzi wasomee chini ya mti lakini wao hawawezi Kaa hata mwezi bila gari whether ni ajali au limeharibika. So hoja hapo ni PRIORITY na UHARAKA wa kusolve matatizo Yao binafsi na sio ya wananchi maskini.Mdude Chadema @mdudechadematz
Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi ya madarasa 25
Clouds Media
Wanafunzi 484 wa darasa la Pili katika shule ya Msingi Butibu iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wanalazimika kusomea chini ya miti baada ya madarasa manne ya shule hiyo kubomolewa mvua kubwa iliyoambatana na upepo Novemba 15 mwaka 2022.
Mbona ungemwandikia angesema na akaeleweka vizuri kuliko alivyosema. Pili madarasa husika yalibomolewa na upepo Novemba 2022, je wakati huo hizo V8 zilikuwa hazijanunuliwa, au kama unavyotaka tuamini zilinunuliwa mwishoni mwa Novemba 2022?Wewe ndio hujaelewa hoja yake ni PRIORITY.... Yaani wako radhi wanafunzi wasomee chini ya mti lakini wao hawawezi Kaa hata mwezi bila gari whether ni ajali au limeharibika. So hoja hapo ni PRIORITY na UHARAKA wa kusolve matatizo Yao binafsi na sio ya wananchi maskini.
Hata mimi nikipata nafasi ziwezi ruhusu ujinga kama huu wa Mdude ChademaKwa hiyo Magufuli na genge lake walikuwa hawajui kusoma mpaka wakaona bora kuwaua na kuwafunga wafuasi wengi wa CHADEMA ili wasiendelee kuikosoa serikali yake ?
Mkuu siasa ni propaganda na MUONEKANO. Yaani hayo maelezo ya kwamba chanzo ni mvua sijui Nini yeye hayamhusu anachosema ni kwamba watoto wanasoma chini ya mti which is the reality. Hizo sababu hawajibiki kuzisema labda serikali ndio ijibu by then damage itakua imefanyika na point za kisiasa zimepanda.Mbona ungemwandikia angesema na akaeleweka vizuri kuliko alivyosema. Pili madarasa husika yalibomolewa na upepo Novemba 2022, je wakati huo hizo V8 zilikuwa hazijanunuliwa, au kama unavyotaka tuamini zilinunuliwa mwishoni mwa Novemba 2022?
OHHH KUMBEMkuu siasa ni propaganda na MUONEKANO. Yaani hayo maelezo ya kwamba chanzo ni mvua sijui Nini yeye hayamhusu anachosema ni kwamba watoto wanasoma chini ya mti which is the reality. Hizo sababu hawajibiki kuzisema labda serikali ndio ijibu by then damage itakua imefanyika na point za kisiasa zimepanda.
Mkuu pole sana kwa kuelimisha maweWewe ndio hujaelewa hoja yake ni PRIORITY.... Yaani wako radhi wanafunzi wasomee chini ya mti lakini wao hawawezi Kaa hata mwezi bila gari whether ni ajali au limeharibika. So hoja hapo ni PRIORITY na UHARAKA wa kusolve matatizo Yao binafsi na sio ya wananchi maskini.
Hao chadema tumeshawaona bungeni na tukawapima kwa hoja zao dhidi ya wana ccm kwahiyo kuku kama wewe hauwezi kutuaminisha habari za kuokoteza ili tuwe na akili na mtazamo kama wakohawa ndio CHADEMA wanaotaka maridhaiano-Mbowe anakazi kweli kweli
Una sababu gani za msingi kumuita huyu Mburula "Mkuu?"Mkuu siasa ni propaganda na MUONEKANO. Yaani hayo maelezo ya kwamba chanzo ni mvua sijui Nini yeye hayamhusu anachosema ni kwamba watoto wanasoma chini ya mti which is the reality. Hizo sababu hawajibiki kuzisema labda serikali ndio ijibu by then damage itakua imefanyika na point za kisiasa zimepanda.