matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Walioomba ajira ni zaidi ya laki.
Alafu wachaguliwe hao watu 13000.
Mini matokeo yake.
1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI.
2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa wanaingia kazini moja kwa moja.
3: Kundi Kubwa ambao hawakuomba kwa kukosa kitambulisho cha Nida nao atawakosa maana sharti hill pia halikuwa na ulazima ukizingatia huko nyuma.
4: Walimu ni Jamii ya watu wenye ushawishi sana. Wakilalamikia kukosa ajira naamini sio zaidi ya watu 5 hawataipigia kura CCM.
5: Hasira zitasambaa ktk magroup ya whatsapp, ya shuleni, vyuoni, kanisani, mtaani na kupunguza kura.
6: Ikibainika kuna upendeleo na undugulization ktk majina. Hoja hii ikafika midomoni kwa Lissu itafanyiwa propaganda na wengi kuichukia CCM.
Nashauri wizara isijekujichanganya kutoa ajira wakati huu Kabla ya uchaguzi itachochea kupunguza kura kwa CCM.