Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Tunakuwa tumechoka hatutaki kunyanduana!Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒
Yupo jimboni kwake, jimbo la HovyoUmesema uko wapi mheshimiwa?
Na leo yupo serious? Nikupigie?
Kwa kweli aamue moja 🤣Uchawa tu, ndoa inakushinda hiyo.
Yah, kwa kuwa bond hutengenezwa na maombi
Wenye tabia kama hizo wengi huwa wanaipenda CCMMbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒
Hivi mnadhani Huwa tunashida sana na nyie? Kama huduma zingekuwa hazipatikani kwingine mngetunyanyasa sanaKuna sehemu umemkwaza afu unajizima data omba msamaha mambo mengine yaendelee
Kama unazipata kwingine kwanini umeoa mkuuHivi mnadhani Huwa tunashida sana na nyie? Kama huduma zingekuwa hazipatikani kwingine mngetunyanyasa sana
Hahaha,Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒
Haha,Huku ndo kunakufaa sasa, kule kwenye ssiasa achana nako 😄😄.
Mkuu pole sana kwa hali hiyo unayopitia, ni hatua katika mahusiano au ndoa. Binafsi sikushauri kupokea ushauri wenye lengo la kupanda mbegu hasi moyoni mwako yakuwa mwenzio sio muanimifu kwako.Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒
Gentleman,Mkuu pole sana kwa hali unayopitia, ni hatua katika mahusiano au ndoa. Binafsi sikushauri kupokea ushauri wenye lengo la kupanda mbegu hasi moyoni mwako yakuwa mwenzio sio muanimifu kwako.
Mkuu ni dhahiri umekuwa na mabadiliko substantially hasa ukiegemea kwenye ushabiki wa siasa na mahaba kwa wanasiasa, kiasi cha kukosa muda na mwenzio.
Nakukumbusha kuwa uchawa ni uraibu mbaya sana, kuliko hata Sembe mkuu!!! Nadhani kwa macho ya mwenzio anaona wewe sio yule Tlaahtlaah wa awali.
Rudi nyuma, reflect back, tafuta ulipo jikwaa sio ulipoangukia!!! Usiwekeze nguvu nyingi na muda mwingi kumbadilisha mwenzio maana siye aliyebadilika, wewe ndiye uliyebadilika, kwa hiyo jibadilishe wewe kwa ajili ya mustakabali wa Kaya yako.
Mkuu jipe likizo ya kujenga nyumba yako kwanza, usipoziba ufa huo utajenga ukuta. Siasa na mahaba kwa wanasiasa haviendi kokote, utavikuta tena vimenoga zaidi!!!
Kumalizia jivunie kuwa na mwanamke anayekutunzia heshima mbele za watu. Wewe Tlaahtlaah unafahamu fika shida ilipo, Fanyia kazi kwa umakini sababu zinazo mfanya asikupe ushirikiano.
Mkuu nakutakia maelewano, usuluhishi, mapatano chanya na upendo kwenye mahusiano/ndoa yako.
🙏🆗Gentleman,
huku mambo ya siasa tena?🤣
sasa hivi kwenye Jumuiya na usharika mje mkiwa makundi makundi ndrugu zango. Moja moja wenye Tatizo la aina moja mnachosha. Next time mjulishane mkiwa kwenye VIKOBA huko mje pamoja,
usha nifahamu? 🐒
Humtombi vizuriMbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒
Apunguze hekaheka.Kwa kweli aamue moja 🤣
Wanaishi kinafkiMbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.