Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Umekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe ukirud uoge usubir chakula cha jion alaf uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
 
Yaani kweli tumetofautina
Mimi kazi na kujenga natamani hii Kanda
Singida Dom dar
Yaani hio mikoa mitatu huniambii kitu Napa feel kinyama

Ila kwa kuwa makazi yangu ya kudumu kikazi imebidi iwe kusini basi inabid nipazoee mtwara,masasi,mnazi mmoja,Lindi,mitwelu,..ndo hasa pa kujenga
 
Umekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] viduku bhaba
 
Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia..
Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha, Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
Dar
 
Umekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
We boya umenichekesha sana kwamba jioni navaa soks na malapa meupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mlume ndago mtafutaji nafuga raia kadhaa kula na shopping zao
 
Unafananisha mzunguko wa Pesa za Petrol Arabuni na mzunguko wa pesa za Ubuyu Dodoma mkuu haupo serious
Mkuu amin kuwa kila sehemu au mkoa huwezi kosa fursa, hata kama pawe kame kiasi gani fursa zipo tu,.tena nyingi ,ni watu tu hawataki kuamka na kuzifanyia kazi,dodoma ni walaji wazuri sana wa mdudu hii iko in my plan nitakuja dom kuhamia rasmi..
 
Umekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom