Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Ukipata majukumu huwezi kusema huu upuuzi
Yan kama unalipa ada kwenye haya mabasi ya njani,fundi site anataka advance asonge mbele,nyumba rakaa tatu zina kuhusu ,kingamuzi,umeme ,maji ,usafiri tairi zinakutupa mkono !!!!!,wazee wamestaafu una miezi mitatu hukatuma hata 50 elf kweli huwezi andika mashudi ya hivyo asee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we hayo ndio umeona majukumu mazito acha utoto bado hujakomaa
 
Tusipende kuchagua sehemu nzuri kiasili , tujifunze kwa Dubai na Israel , wamewezaje kubadili jangwa kuwa sehemu inayovutia mno, ata sisi tunaweza tukibadili jinsi tunavyotazama mambo
Pesa kule kuna vyanzo vya pesa Mafuta
 
Ni kimoja kati ya hivi kinakusumbua Kiburi cha pesa ama kipato cha uhakika kwa sasa, ujana na kutopevuka kiakili naivety, kutokuwa na majukumu ya kifamilia ama wategemezi. Siku factor mojawapo kati hizo zikibadirika utajikuta unaenda kukaa sehemu ama eneo ambalo hata hujawahi hata kuwaza utakuja kukaa.
Safi sana. Vijana wa kizazi kipya taabu sana. Akishapata ka IST basi anajiona kafiiika! TAKUKURU hebu kazeni Uzi, kesi za uhujumu uchimi zimepoa sana siku hizi! Watu wameishaanza kukwepa kodi. Tumesikia juzi kutoka EWURA!
 
Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia..
Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha, Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
Unazungumza Tanzania ya mwaka gani,muwe mnakusanya pesa kidogo angalau mwisho wa mwaka utembee mikoa hata mitano ili ujue nchi yako ikoje...
 
Safi sana. Vijana wa kizazi kipya taabu sana. Akishapata ka IST basi anajiona kafiiika! TAKUKURU hebu kazeni Uzi, kesi za uhujumu uchimi zimepoa sana siku hizi! Watu wameishaanza kukwepa kodi. Tumesikia juzi kutoka EWURA!
Hivi dumu la mafuta ya alizeti mnauzaje huko Dodoma
 
Sisi ndio tunajua mkoa ulivyo na karaha pamoja na raha zake
Tuache tuishi..
 
Back
Top Bottom