Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia..
Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha, Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
Duuuh mawazp finyu kabisa umeandika leo
Kwanza sijui unatokea mkoa gan unapata mda wa kuwaza ujinga namna hii,atakayekupa hiyo nyumba ba gari bure ni nani may be we ni chai maharage
 
Watu na vijimaneno, mbona wengi tu wapo USA na huko ughaibuni lakini kazi zao kubwa ni kusafisha vibibi vya kizungu vinapojiharishia, lakini wameshindwa kuwaangalia mama zao na bibi zao. Africans wake up!
 
Hakuna huo mkoa. Labda ungeliboresha useme my be nchi gani huwezi kuishi hata upewe hizo facilities.
 
Wenye akili nzuri huwa wanakimbia sehemu ambazo wanajua zinarudisha maendeleo yao nyuma. Tuachane na mambo ya Tanzania. Kuna watu nimesoma nao kwa sasa wako USA, UK, Australia... wanaishi maisha ya dunia ya kwanza, siyo Sumbawanga. Hata ufanye nini huko Sumbawanga, hauwezi kuwafikia. Usifikiri eti wewe una akili kwa vile unakaa Kibondo.
Ukiona binadamu yeyote anayeshindwa kujiamulia sehemu sahihi ya kuishi,huyo hana tofauti na mnyama.
 
Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia..
Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha, Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
Utakuwa chizi labda,Tzn hapa hakuna sehemu inayofaa zaidi ya nyingine
 
To be fair- Kama choices zipo,kuna sehemu ni bora kuliko nyingine ndani ya Tanzania.Based on my own experience-kuna sehemu kuna ulozi kiasi kwamba huwezi kufanya shughuli za kimaendeleo kama ni mgeni- ni changamoto.Kuna sehemu swala la usafiri ni janga,hospitali ni hadithi
 
Mkuu kama umezaliwa hapo Dom na umekulia hapo hauwezi elewa hii kitu endelea kula vumbi
Dom ipi yenye vumbi,kuna Mji wenye mtandao mkubwa wa lami kama Dom kwa sasa? Na bado ring road bado utalinganisha Dom na hivyo vi slum town vyenu kweli? U can't be serious..Dom is Abuja to come
 
Kuna jamaa humu amewahi kukiri kwamba amekaa sumbawanga miaka 13 hajawahi kurogwa ila alipohamia Daslam anapigwa ndere za kufa mtu,
Just incase Umeikataa swax sabab ya ndere

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sumbawanga siyo pabaya kiukweli,labda sijajua kwann mhusika amepa-disqualify.Uzuri au ubaya wa sehemu huwa ni choices ya mtu binafsi.
 
To be fair- Kama choices zipo,kuna sehemu ni bora kuliko nyingine ndani ya Tanzania.Based on my own experience-kuna sehemu kuna ulozi kiasi kwamba huwezi kufanya shughuli za kimaendeleo kama ni mgeni- ni changamoto.Kuna sehemu swala la usafiri ni janga,hospitali ni hadithi
Sasa kwa taarifa yako ulozi uko Tanga Pwani yote hadi Mtwara,Tabora na Mbeya .Swax huwa ni story tuu
 
Back
Top Bottom