Wazungu wenzetu pamoja na maendeleo, waliyonayo, huko kwao, lakini Walipaacha kwao kuja kuishi Afrika, tena enzi za mababu, afrika kabla jaijafikia haya maendeleo ya sasa.
Lakini Sisi, ambao afrika ni yetu, tena Tanzania ambayo kila utakapo ishi ukiongea kiswahili, utajiwa kwa kiswahili hichohicho, maendeleo ya mkoa hadi mkoa hayatofautiani sana, alafu mtu anakuja kauli hii, waafrka kweli tumefungwa vitambaa vya giza kwenye ubongo.
Wenzetu wameweka mbele fulsa, hawa angalii pa giza, au mwanga, unaweza kwenda vijiji vya ndani unawakuta jamaa wanachapa kazi, na wanalala kwenye full suti za mabati.