Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848]mkuu Kwa nn LindiLindi jamani! Hata nikiwekewa SMG ya utosi
Pa kingese Pro Max af wachawi kichizi[emoji848][emoji848]mkuu Kwa nn Lindi
Nakubaliana na wewe ndugu. Nilikuwa sina ndoto za kuishi mikoa fulani hapa Tanzania lakini sasa hivi ndyo napata ridhiki yangu mkoa mmojawapo.Ni kimoja kati ya hivi kinakusumbua Kiburi cha pesa ama kipato cha uhakika kwa sasa, ujana na kutopevuka kiakili naivety, kutokuwa na majukumu ya kifamilia ama wategemezi. Siku factor mojawapo kati hizo zikibadirika utajikuta unaenda kukaa sehemu ama eneo ambalo hata hujawahi hata kuwaza utakuja kukaa.
Ukiachana na ulozi vp Hali ya maisha..inafaa Kwa mtu asiye mwenyeji kuanza maisha hapo Lindi ?Mtwara nimeishi ni pazuri sana,hata Lindi nimeishi.Kiuhalisia Lindi kuna ulozi hata siyo siri kabisa.Mwendazake nadhan testimony ya ulozi lindi aliipata [emoji1787] [emoji1787]
Kweli kabisa mkuu
wengi wao ni kuanzia miaka 37 kwenda mbeleWana umri gani
Nikisikia mtu anasema mizunguko wa pesa Ni mdogo hua nacheka Sana,Kwani hao waliotoboa hapo mzunguo huo hawauoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fresh ila tatizo mzunguko wa pesa bado mdogo Ingawa Wachaga na Warangi wamekamata soko kuu hapo Jamatini wenyeji wamekamata kilimo cha alizeti na mifugo
Lindi bado kuna umwinyi mwingi,Maisha ni very expensive sababu watu bado hawajitumi-na wana msemo wao mmoja "Lindi kitu cha bei rahisi ni chumvi na mwananke",na ni mkoa ambao bado haujafunguka kama Mtwara ingawa kijumla unaanza kufunguka taratibu.Unafuu kwa mgeni inategemea na wilaya-sehemu wanazolima sana korosho biashara kiukweli zipo na wageni huwa wanafaidika.Ingawa kuna baadhi ya wilaya mgeni ukifungua biashara kupata wateja ni changamoto mno kwa sababu wana ule unyumbani mwingi na ubaguzi,na wafanyibiashara wa Lindi wana changamoto sana-Ukifika saa 12 jion ukijisahau ukaomba wakuuzie chumvi hakuna hata mmoja atakayekuuzia labda utamke dawa ya jiko kwa imani zao,Ukifika dukani unapaswa kumsubiria mwenye duka aamue jinsi ya kukuhudumia anavyotaka yeye na hawataki maswali mengi-Unaweza fika dukani ukamsubiria mwenye duka hata dk 20 amalize kuongea na mtu wake ndo akuhudumie-kiufupi ni kujifunza jinsi ya kwenda na wenyeji nk.Ukiachana na ulozi vp Hali ya maisha..inafaa Kwa mtu asiye mwenyeji kuanza maisha hapo Lindi ?
Mpaka uwe na hela ya kulewa ndipo utaoafurahia ila hali ya hewa nzuri .Sehemu ambayo niwahi kufika na kuona taabu kuishi ni Kasulu na Kibondo. Ilikuwa wakati wa mvua. Palikuwa pagumu sana kwangu.
Hiyo niliwahi kutananayo bukoba dah! nilichoka mwenyewe mtu anaongea na ndugu zake mpaka amalize ndipo akuhudumie.Lindi bado kuna umwinyi mwingi,Maisha ni very expensive sababu watu bado hawajitumi-na wana msemo wao mmoja "Lindi kitu cha bei rahisi ni chumvi na mwananke",na ni mkoa ambao bado haujafunguka kama Mtwara ingawa kijumla unaanza kufunguka taratibu.Unafuu kwa mgeni inategemea na wilaya-sehemu wanazolima sana korosho biashara kiukweli zipo na wageni huwa wanafaidika.Ingawa kuna baadhi ya wilaya mgeni ukifungua biashara kupata wateja ni changamoto mno kwa sababu wana ule unyumbani mwingi na ubaguzi,na wafanyibiashara wa Lindi wana changamoto sana-Ukifika saa 12 jion ukijisahau ukaomba wakuuzie chumvi hakuna hata mmoja atakayekuuzia labda utamke dawa ya jiko kwa imani zao,Ukifika dukani unapaswa kumsubiria mwenye duka aamue jinsi ya kukuhudumia anavyotaka yeye na hawataki maswali mengi-Unaweza fika dukani ukamsubiria mwenye duka hata dk 20 amalize kuongea na mtu wake ndo akuhudumie-kiufupi ni kujifunza jinsi ya kwenda na wenyeji nk.
Ficha ujinga ulionaoWe ni mpumbavu ,nani atakupa nyumba na gari,, kwa kazi gani uliyoifanya ...Acha ujinga
Na vp kuhusu maendeleo kiujumla,mkoa wa Lindi unaweza kufanana na mkoa gn?Lindi bado kuna umwinyi mwingi,Maisha ni very expensive sababu watu bado hawajitumi-na wana msemo wao mmoja "Lindi kitu cha bei rahisi ni chumvi na mwananke",na ni mkoa ambao bado haujafunguka kama Mtwara ingawa kijumla unaanza kufunguka taratibu.Unafuu kwa mgeni inategemea na wilaya-sehemu wanazolima sana korosho biashara kiukweli zipo na wageni huwa wanafaidika.Ingawa kuna baadhi ya wilaya mgeni ukifungua biashara kupata wateja ni changamoto mno kwa sababu wana ule unyumbani mwingi na ubaguzi,na wafanyibiashara wa Lindi wana changamoto sana-Ukifika saa 12 jion ukijisahau ukaomba wakuuzie chumvi hakuna hata mmoja atakayekuuzia labda utamke dawa ya jiko kwa imani zao,Ukifika dukani unapaswa kumsubiria mwenye duka aamue jinsi ya kukuhudumia anavyotaka yeye na hawataki maswali mengi-Unaweza fika dukani ukamsubiria mwenye duka hata dk 20 amalize kuongea na mtu wake ndo akuhudumie-kiufupi ni kujifunza jinsi ya kwenda na wenyeji nk.
Watumishi hao waliokuwa Dar unfortunately na Kazi hawawezi kuacha .Dom iko good sanaWatu wanapaponda dodoma [emoji23]
Wakati wengine tunaishi vizuri tu jaman hamjapata majukumu nyie