Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Kila mkoa uko na maeneo ambayo ukiishi kwe hayo maeneo either utayapenda or utayachukia, so Probably ulikuwa somewhere ndichi sana, ndo maana hupaelewi...
Fanya kampango upate ka hela uje uishi sehem panaitwa ""unyakhae"" au mtaa wa freemanson.....
Naimani hutokaa uidiss singida.
Welcom mtaan kwetu[emoji23][emoji23].
Kikubwa uwe na jax tu, mana huku hawastahimili wenye vi pesa vya mawazo
Nyie ndio mnao watafuna watoto TIA hapo
 
Dodoma n kwel kbisa ukame tu
HAKUNA ukame Dodoma njooni huku mbuga ya sogeambele hapa Katikati ya jiji muone uzuri wa Dom isiyo kame bhana! Acheni story za kusikia njooni mjioneee Kama mtatamani kurudi huko Daa kwenu
 
Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,

Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia.

Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha

Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
We jamaa acha kashfa zako mbona sisis tunaishi na hatuja pauka? Ninyi kupauka kwenu kunaletwa na KUTAKA KUGONGEA KILA KITU MAISHA HAYO YA KUGONGEA DODOMA UTAIKIMBIA FANYA KAZI DOM UTAIONA ULAYA!!!!
 
Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,

Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia.

Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha

Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
Dsm

Arusha

Kilimanjaro

Mwanza
 
sumbawanga, katabi na lindi. sihitaji hata kuisikia.
 
Back
Top Bottom