gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Dom pa kingese sana
ukame aka jangwa
anyway, watakwambia unakaa kwa shemeji
Ulikuja kwa ajili ya kulima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dom pa kingese sana
ukame aka jangwa
anyway, watakwambia unakaa kwa shemeji
Khaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafananisha mzunguko wa Pesa za Petrol Arabuni na mzunguko wa pesa za Ubuyu Dodoma mkuu haupo serious
Kweli kabisa. Sehemu yoyote inategemea jinsi ulivyo adaptable.Ni kimoja kati ya hivi kinakusumbua Kiburi cha pesa ama kipato cha uhakika kwa sasa, ujana na kutopevuka kiakili naivety, kutokuwa na majukumu ya kifamilia ama wategemezi. Siku factor mojawapo kati hizo zikibadirika utajikuta unaenda kukaa sehemu ama eneo ambalo hata hujawahi hata kuwaza utakuja kukaa.
Unafuga raia... Kuna aliyechangia akiashiria una kiburi (cha pesa).We boya umenichekesha sana kwamba jioni navaa soks na malapa meupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mlume ndago mtafutaji nafuga raia kadhaa kula na shopping zao
Aliishi dom bila mchongo wowote, so aliishi maisha magumu sana.......
Alikuwa n muuza ubuyu, mana ndo biashara pekee anayoijua....... Basing on reply zake.
Alikosa mada ya kutupia humu, so kaamua kujilipua kwa kuexpose ujinga unaotrend kwe akili yake....
Huenda haifaham Dodoma.,
huko alipo analelewa i.e hajishughulishi na chochote so amekutana na kamseleleko.
We unaonekana bado dogo sana na maisha hujayaanza, watu tumeanzia maisha Dodoma mika ya 90 na tuliyamudu vizuri tu.Mkuu kama umezaliwa hapo Dom na umekulia hapo hauwezi elewa hii kitu endelea kula vumbi
Je ukipata bwana wa kinyaturu?Hapa inabidi iwe mikoa ambayo nilishakanyaga, Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Dom, Singida, Tabora, Shinyanga....kati ya hii Singida sikai hata nipewe vieite.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
Kila mkoa uko na maeneo ambayo ukiishi kwe hayo maeneo either utayapenda or utayachukia, so Probably ulikuwa somewhere ndichi sana, ndo maana hupaelewi...Hapa inabidi iwe mikoa ambayo nilishakanyaga, Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Dom, Singida, Tabora, Shinyanga....kati ya hii Singida sikai hata nipewe vieite.
mkuu umechafukwa[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]Kama wewe ni boda boda ulikuja dodoma kuanza maisha,au ulikuja kutafuta centre za kufundishia watoto tuition au ulikuja kufanya kilimo cha maindi lazma upadiss dodoma…
Kwa taarifa yenu dodoma kuna hela,hali ya hewa nzuri na watu tunapata pesa malundo kwa malundo..unasema unapauka wakati unapaka babygel asbhi..
Washamba..nyie labda mlifika kongwa,mpwapwa au bahi mnasema mpo dodoma..dodoma njoo na hela ndo utaenjoy..
Hata nipewe na burungutu la pesa, singida sikai....Kila mkoa uko na maeneo ambayo ukiishi kwe hayo maeneo either utayapenda or utayachukia, so Probably ulikuwa somewhere ndichi sana, ndo maana hupaelewi...
Fanya kampango upate ka hela uje uishi sehem panaitwa ""unyakhae"" au mtaa wa freemanson.....
Naimani hutokaa uidiss singida.
Welcom mtaan kwetu[emoji23][emoji23].
Kikubwa uwe na jax tu, mana huku hawastahimili wenye vi pesa vya mawazo
Yani nikatae vieite nichukue mnyaturu ili iweje? Acha basi.....
Singida mbona hali ya hewa kama Meru tu hamna vumbi kivileHapa inabidi iwe mikoa ambayo nilishakanyaga, Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Dom, Singida, Tabora, Shinyanga....kati ya hii Singida sikai hata nipewe vieite.