Mkuu kama umezaliwa hapo Dom na umekulia hapo hauwezi elewa hii kitu endelea kula vumbiUkute ni kinyozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tu au bodaboda.
Unafananisha mzunguko wa Pesa za Petrol Arabuni na mzunguko wa pesa za Ubuyu Dodoma mkuu haupo seriousCha msingi pesa ,mbona uarabuni ni kuna ukame lakini wanaishi watu...
Kama hakuna njaa kama Dodoma panafaaMkoa wa Njombe aisee kuna baridi sana, pia ...
Ntwara hapaeleweki!!!Mtwara Kuna alshabab
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] viduku bhabaUmekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
Et vya thamani duniani we buda kweliWew nyumba na gari ndio umeona vitu vya thamani dunian?
DarWakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia..
Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar, Tanga, Atown, Tabora, Dom, Moro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Sgd, kwa kuna Mkoa ambao hata nikipewa nyumba na gari siwezi kuishi ni Dodoma yaani huo mkoa umekaa tofauti kabisa na sehemu nyingi nilizo ishi kuanzia kiuchumi, kijamii, kwa wale watumishi waliolenga kustaafia na kuishi huko hakika waishia kupauka na kunywa za pombe za kienyeji maana sioni future endelevu kabisa kwenye huo mjini na miongoni mwa miji yenye asili ya njaa uvivu na ukame kuna miji kama Tanga Moro au hata Mwanza unaweza ishi na familia bila tatizo tofauti huo mji wa Dodoma ambao wakazi wake wamekimbilia Dar na shughuli zao kwenye machinjio ya wanyama huko Vingunguti, Pugu na biashara ya Bucha, Ni wazi tunapambana na kwa ajili ya kujiandalia maisha bora ya sasa na baadae kwako na vizazi vyako hakikisha haukosei wewe pamoja na kukiweka kizazi chako jangwani kitateseka chagua sehemu sahihi ambayo itakufanya uishi kwa furaha. Kizazi chako ukikiweka jangwani kitashindwa kukusaidia hata wewe mzazi uzeeni.
We boya umenichekesha sana kwamba jioni navaa soks na malapa meupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mlume ndago mtafutaji nafuga raia kadhaa kula na shopping zaoUmekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado
Nimecheka jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafananisha mzunguko wa Pesa za Petrol Arabuni na mzunguko wa pesa za Ubuyu Dodoma mkuu haupo serious
Hutaki kula chamaki nchangaLindi jamani! Hata nikiwekewa SMG ya utosi
Mkuu amin kuwa kila sehemu au mkoa huwezi kosa fursa, hata kama pawe kame kiasi gani fursa zipo tu,.tena nyingi ,ni watu tu hawataki kuamka na kuzifanyia kazi,dodoma ni walaji wazuri sana wa mdudu hii iko in my plan nitakuja dom kuhamia rasmi..Unafananisha mzunguko wa Pesa za Petrol Arabuni na mzunguko wa pesa za Ubuyu Dodoma mkuu haupo serious
Chamaki nchanga hapanaHutaki kula chamaki nchanga
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Umekaa hapo kwa shemej mguu juu unasubir ule chakula cha mchana alaf undelee kuangalia Tv jion ukazurure huku umevaa soks na malapa meupe jion urud uoge usubir chakula cha jion ala uangalie sultan ya azam tv ndo maana unapata ujasiri wa kuandika huu upuzi
Maisha hajakupiga spana bado