Ukiweka mikoa/Kanda yenye nguvu na raslimali itasumbua tu. Tz ina mikoa hiyo au nguvu hiyo ya kiuchumi ikizingatiwa kuwa hiyo mikoa ni full politike.Inasaidia kuzuia ukanda kwa kutengeneza jamii ndogo ndogo. Ethiopia wanateseka sasa hivi kwa sababu wana mikoa michache yenye nguvu yenye kutaka kujitawala
Hajui anachokizungumza huyoUnaijua ilipo SIHA?NA IMEPAKANA NA WILAYA GANI?
Ili kuwarahisishia chadema kugawa majimbo wakiingia madarakani 😂😂😂Mikoa mingi ya nini na maendeleo ya kusua sua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanga yenyewe tiamajitiamaji, izae tena mkoa?
Utasubiri sana. Una taarifa kesho kutwa Museveni anakabidhi Shule kwa serikali ya TZ huko Chato alijenga mwenyewe? Utakufa na stress tu. Chato karibu inakuwa mkoa tunamalizia taratibu za mwisho mwisho hakuna mtu wakuzuia Chato kuwa mkoa.Chato ndiyo ishakufa kibudu
Unatumia masaburi kuwaza na kutendaIli kuwarahisishia chadema kugawa majimbo wakiingia madarakani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiweka mikoa/Kanda yenye nguvu na raslimali itasumbua tu. Tz ina mikoa hiyo au nguvu hiyo ya kiuchumi ikizingatiwa kuwa hiyo mikoa ni full politike.
| a. | Jimbo | Idadi ya Wakazi | Eneo (km²) | Makao makuu | Mikoa ya baadaye |
|---|---|---|---|---|---|
| 1. | Kati | 886,962 | 94,301 | Dodoma | Dodoma, Singida |
| 2. | Mashariki | 955,828 | 107,630 | Dar es Salaam | Pwani (kisehemu), Morogoro |
| 3. | Dar es Salaam | 128,742 | 1,393 | Dar es Salaam | Pwani (kisehemu) |
| 4. | Ziwani | 1,731,794 | 107,711 | Mwanza | Mara, Mwanza, Shinyanga (kisehemu) |
| 5. | Ziwa Magharibi | 514,431 | 28,388 | Bukoba | Ziwa Magharibi |
| 6. | Kaskazini | 772,434 | 85,374 | Arusha | Arusha, Kilimanjaro (kisehemu) |
| 7. | Kusini | 1,014,265 | 143,027 | Mtwara | Mtwara, Ruvuma |
| 8. | Nyanda za Juu za Kusini | 1,030,269 | 119,253 | Mbeya | Iringa, Mbeya (kisehemu) |
| 9. | Tanga | 688,290 | 35,750 | Tanga | Kilimanjaro (kisehemu), Tanga |
| 10. | Magharibi | 1,062,598 | 203,068 | Tabora | Kigoma, Mbeya (kisehemu), Shinyanga (kisehemu), Tabora |
Hata kama ninatumia malupwenyu kufikiri na kutenda, kwani majimbo siyo sera ya chadema?Unatumia masaburi kuwaza na kutenda
My foot Pesa bwahahaKama nyanya tunaagiza unajua maana yake ? Ni kuwa tuna pesa .Bila kufanya kazi tungekuwa na pesa za kununua nyanya?
Au wazenji na mikoa yao😅😅Hata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
Wacha kushobokea cdm wewe endelea na uchawa wako kwa mizimuHata kama ninatumia malupwenyu kufikiri na kutenda, kwani majimbo siyo sera ya chadema?
Hata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
Very good, Korogwe (Manundu) iliasisiwa na Manamba wa mikonge wa Kisukuma kutoka Sukumaland.
Heri ya huo kuliko wa chato
with e-government, huhitaji kuwa na mikoa kihivyo, hata ukiiondoa kabisa you can still govern from the head quarters. kwani wilaya zinatosha kuwasiliana na makao makuu ya taifa, isitoshe wote ni wateulwe wa rais
Point nzuri. Kama kuunda mkoa mpya ndiko kusogeza huduma karibu na wananchi, basi tuundiwe nchi mpya kabisa ili kusogeza huduma ya rais karibu na wananchi.
Labda mkoa wa nyumbani kwa shemeji yakoChato itakuwa mkoa, unataka hutaki. Ni suala la muda tu.
Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.