Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Inasaidia kuzuia ukanda kwa kutengeneza jamii ndogo ndogo. Ethiopia wanateseka sasa hivi kwa sababu wana mikoa michache yenye nguvu yenye kutaka kujitawala
Ukiweka mikoa/Kanda yenye nguvu na raslimali itasumbua tu. Tz ina mikoa hiyo au nguvu hiyo ya kiuchumi ikizingatiwa kuwa hiyo mikoa ni full politike.
 
Chato ndiyo ishakufa kibudu
Utasubiri sana. Una taarifa kesho kutwa Museveni anakabidhi Shule kwa serikali ya TZ huko Chato alijenga mwenyewe? Utakufa na stress tu. Chato karibu inakuwa mkoa tunamalizia taratibu za mwisho mwisho hakuna mtu wakuzuia Chato kuwa mkoa.
 
Hata vijiji vyote vingefanywa mikoa, mandeleo bado yatakuwa ya kutafuta kwa tochi bila ugatuzi wa madaraka.
 
Ukiweka mikoa/Kanda yenye nguvu na raslimali itasumbua tu. Tz ina mikoa hiyo au nguvu hiyo ya kiuchumi ikizingatiwa kuwa hiyo mikoa ni full politike.

..hata sasa hivi kuna mikoa yenye maendeleo kuzidi mingine. je, nini kinazuia mikoa hiyo kujitenga?

..hapo chini ni jedwali lenye majimbo yaliyokuwepo kabla hatujaleta mfumo wa utawala wa mikoa.

a.JimboIdadi ya WakaziEneo (km²)Makao makuuMikoa ya baadaye
1.Kati886,96294,301DodomaDodoma, Singida
2.Mashariki955,828107,630Dar es SalaamPwani (kisehemu), Morogoro
3.Dar es Salaam128,7421,393Dar es SalaamPwani (kisehemu)
4.Ziwani1,731,794107,711MwanzaMara, Mwanza, Shinyanga (kisehemu)
5.Ziwa Magharibi514,43128,388BukobaZiwa Magharibi
6.Kaskazini772,43485,374ArushaArusha, Kilimanjaro (kisehemu)
7.Kusini1,014,265143,027MtwaraMtwara, Ruvuma
8.Nyanda za Juu za Kusini1,030,269119,253MbeyaIringa, Mbeya (kisehemu)
9.Tanga688,29035,750TangaKilimanjaro (kisehemu), Tanga
10.Magharibi1,062,598203,068TaboraKigoma, Mbeya (kisehemu), Shinyanga (kisehemu), Tabora
 
Hata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
Au wazenji na mikoa yao😅😅
 
Mifumo gani unataka kubadili ? Ebu dadavua hapa tujadili.
Hata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
 
We jinga kweli msukuma aende akakate mkonge nani atunze pamba na mifugo ? Manamba wa huko walitokea Kigoma na Mpanda. Uwe na adabu unapolitaja kabila Kuu, ala.
Very good, Korogwe (Manundu) iliasisiwa na Manamba wa mikonge wa Kisukuma kutoka Sukumaland.
 
Hujui jitu. Kojoa ukalale. Tatizo la vyeti fake linajidhirisha sasa
with e-government, huhitaji kuwa na mikoa kihivyo, hata ukiiondoa kabisa you can still govern from the head quarters. kwani wilaya zinatosha kuwasiliana na makao makuu ya taifa, isitoshe wote ni wateulwe wa rais
 
Back
Top Bottom