Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

Ngoja tuone.
Wanaimegaje Kilimanjaro ndogo kama sufuria badala ya kuunda Mkoa mwingine kuimega Morogoro inayoanzia kusini mpaka Kaskazini!
 
Kwa taarifa yako nyumba rahisi Bei nafuu kwa hao machangudoa wenu wa Moshi wasiotaka kulaoa geto hupanga nyumba za wazaramo za Bei nafuu Hakuna Cha Kodi ya miezi sita Wala mwaka . Nyumba za wachaga hapangi Asante kuletea wapangaji kwa wamiliki nyumba wazaramo wakati Moshi Nyumba za kupanga wanalala panya na mende kwani zipo tu kwa ajili ya wafiwa na misiba na Christmas kufikia lakini haziingizi hata Mia!!! Mtu anabweka ohhh nimejenga nyumbani !! Ok umejenga inaingiza shilingi ngapi wakati hiyo nyumba kazi kuu kupokea tu maiti na waombolezaji na vacation home ya Krismasi tu ? Muda ukiobaki wanalala mende na panya? Mzaramo Yuko juu nyumba yake full time ina watu hata iwe na umeme au la na wapangaji wakubwa machangudoa wa kichaga walioletwa kama wahudumu bar na grocery waliochoka kulala geto
[emoji23][emoji23]wazaramo Wana nyumba mjini ipi hyo wameuza dar yote na bagamoyo nayo waliuza maeneo kucheza ngoma wanazidi tu kwenda mbali ya miji huko. Hapa Dar ni nani atapanga kwa mzaramo tu let's be honest jamani
 
Njombe kilimo Cha miti na mbao kinasaidia na swala sio kugaiwa huo mkoa mzee. Ingekuwa kugawa ni maendeleo basi Manyara ingeshapaa kiuchumi ukiongeza na katavi
Yap kweli. Hapo umenena.
 
Bila kuathiri taarifa yako, sioni namna kama yupo mtaalamu wa kufanya maamuzi ya kuchukua eneo la Kilimanjaro - hii ni eneo la juu ya Korogwe. Ukipanda kwenda Kilimanjaro maana yake unaufanya mkoa wa Tanga kuwa mdogo zaidi wakati huohuo unapunguza Kilimanjaro ambayo walau ipo vizuri kwenye miundombinu na huduma za kielimu na afya.

Naona nafasi kubwa kuja mkoa wa Pwani upande wa kusini Morogoro Kusini Magharibi na Manyara upande wa magharibi.

Kwa waliowahi kufika Wilaya ya Kilosa watakubaliana na mimi kuwa hii wilaya ni ndefu mno, kuna vijiji vipo Kilomita 180 kutoka Makao makuu ya Wilaya.

Kama ikitokea wafanya maamuzi wakachukua sehemu ya mkoa wa Kilimanjaro itakuwa ni maamuzi yasiyo na tija.

Kwa mkoa wa Morogoro ni sawa kwa sababu una umbo lefu hivyo kufanya maeneo mengine kuwa mbali na huduma.

Labda niulize pia,

Uanzishwaji wa mikoa mipya ni fursa kwa ajira, zile za kisiasa na kitaaluma lakini tumewahi kukaa na kujiuliza baada ya kuanzisha mikoa kadhaa miaka ya karibuni, je ni jambo lemye faida endelevu?

Watu wa Katavi mmefaidikaje na mkoa mpya?

Watu wa Njombe mmefaidikaje na mkoa mpya?

Watu wa Geita je?

Watu wa Manyara je?

Watu wa kule Songwe mmefaidiakaje?
 
Bora wagawe Tz tupate nchi angalau 4,tumechoka dada zetu wakimaliza tu shule wanaenda fanya kazi za ndani Dar na Arusha.

Sisi tunakosa pisi kali za kuoa.
 
Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

Ngoja tuone.
Hiv ili mkoa uwe mkoa Nini kinazingatiwa??
1) s/mitter za mraba,
2)idadi ya watu?
3)huduma za kijamii??
4)miundombinu
5) influence za kisiasa!
6)kipato cha wakazi husika!!
Au nn?? Maana hata huku chato pamoja na kuwa wilaya na kutaka kuwa mkoa asee bado Sana Sana,

Inaweza kuwa sawa kwenye miundombinu ila watu wake na kipato Chao haviwiani kabisa kuwa mkoa, hasa ukiitoa geita,

Na geita yenyewe bado labda tu kwa sabab za mgodi, maana ukichukua geita na vyanzo vyake vyote hata kimiundombinu huwezi kuilinganisha na kahama ambayo bado inatambulika Kama wilaya, japo pato lake linazidi la geita ninauhakika..

Sasa wenye kujua watueleze nn kinasababisha wilaya kuwa mkoa??
 
Katika mikoa yote kama kuna mkoa ulipaswa kugawanywa kwa sasa ni morogoro tu, hiyo korogwe kutaka kufanywa mkoa kama hizo tetesi ni kweli basi ni mahangaiko tu ya serikali hakuna sababu yoyote ya maana ni kama vile chato tu!!
 
Wameishiwa maarifa ya kuwashawishi wananchi
 
Hao Warundi nimekutana nao kadhaa. Korogwe inamchanganyiko haswa.
Hao Warundi ni wale walioletwa na Wakoloni kuja kukata Mkonge (Manamba),na waliacha sifa moja kuu ya uchapaji wa kazi.

Kusema kweli hao ndio Watanzania wenye asili ya Urundi na ni Raia halali kabisa wa jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania)
 
Kwa taarifa yako nyumba rahisi Bei nafuu kwa hao machangudoa wenu wa Moshi wasiotaka kulaoa geto hupanga nyumba za wazaramo za Bei nafuu Hakuna Cha Kodi ya miezi sita Wala mwaka . Nyumba za wachaga hapangi Asante kuletea wapangaji kwa wamiliki nyumba wazaramo wakati Moshi Nyumba za kupanga wanalala panya na mende kwani zipo tu kwa ajili ya wafiwa na misiba na Christmas kufikia lakini haziingizi hata Mia!!! Mtu anabweka ohhh nimejenga nyumbani !! Ok umejenga inaingiza shilingi ngapi wakati hiyo nyumba kazi kuu kupokea tu maiti na waombolezaji na vacation home ya Krismasi tu ? Muda ukiobaki wanalala mende na panya? Mzaramo Yuko juu nyumba yake full time ina watu hata iwe na umeme au la na wapangaji wakubwa machangudoa wa kichaga walioletwa kama wahudumu bar na grocery waliochoka kulala geto
Mmh mm nimpare ila huwezi mfananisha mchaga na mzaramo ,mzaramo akipata hela yy anawaza kwenda kwenye ngoma na ngono
 
Mmh mm nimpare ila huwezi mfananisha mchaga na mzaramo ,mzaramo akipata hela yy anawaza kwenda kwenye ngoma na ngono
Sawa lakini nyumba ya Bei nafuu si kakupangisha? Kuliko kulala geto ya mchaga wakati kwenu uchagani hujawahi kulala geto la wahudumu bar au grocery kibao?
 
Back
Top Bottom