Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu kama Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
Hapo timu itakuwa imekamilika kama Real Madrid au Man city.Ziara za RC Makonda zimetuonyesha mambo mengi ya hovyo yanayoendelea jijini Arusha.Kuna upigaji mwingi sana.Mtu mwoga huwezi kukubali kufanya kazi au kuchukua hatua za kisheria dhidi ya manyang'au, Paulo Makonda ameiweza hii kazi.
Mikutano yake imejaa sana wananchi wenye changamoto nyingi.Changamoto ambazo zilipaswa kumalizwa ngazi ya kijiji, mitaa au kata.Imeonekana viongozi wa mitaa na kata hawana problem solving skills, communication skills na presentationa skills.Makonda anatamani kumaliza changamoto zote za wananchi lakini kijana wa watu ameleemewa.
Mfano Waziri wa Ardhi alitoa maelekezo miezi miwili iliyopita mzee mmoja apewe hati yake lakini huwezi kuamini hadi jana mzee yule anatimba kwenye mkutano akiwa katika baiskeli ya walemavu hajapata hati yake na watendaji wanakula bia tu.
Sisi ambao hatukai Arusha tunamshukuru sana Millardayo kwa kuturushia yanayoendelea huko Arusha.Kunanuka mambo ya kumhujumu Rais na serikali yake.
Sasa kazi moja ambayo imebakia ili kumaliza kabisa chokochoko za Arusha ni kumpa kazi Lengai Ole Sabaya akawe DC pale Arusha.
Nna uhakika Goodbless Lema atarudi Canada kuendelea na maisha yake mapema na ndio itakuwa mwisho wake kisiasa.