Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Arusha ipo sawa Singida au Singida ipo juu zaidiSometimes kuna mada unaziangalia unawaza kama alieleta na wanaomuunga mkono wanatumia kushabu au la.
Kama kusema wakazi wakuu wa Ngorongoro ni Wasonjo inathibitisha haujui unalolisema.
Japo kuna vitu haviko sawa lakini sio kwa Arusha tu ni tatizo la nchi nzima hata Dar mjini kati nenda hapo Magomeni tu ni kubaya kinyama.
Sasa sijui kwanini wengi mnapenda kui single out Arusha. Nadhani ni wivu tu umewajaa.
Arusha ndio the most backward region in Tanzania.Kwa hiyo Arusha ipo sawa Singida au Singida ipo juu zaidi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mtoa mada hazungumzii Arusha mjini anazungumzia Hali ya wilaya zakeMmmh hiii kali ipeni arusha heshima yake wakuu sioni sehemu nzuri ya kuishi zaidi ya arusha kwa sasa nmetembea kote still arusha ni heaven
kisongo heka laki 7, ngoja tukubali tuKwa kila sehemu kuna maeneo viwanja pia ni bei rahisi sana tu kwa mfano kwa mrombo viwanja watu wamenunua 10*10 mpaka laki tano kisongo pia heka mpaka muda huu kuna maeneo ni sh 7000000 sasa unafikiri arusha maeneo yote yana bei? Nyie vijana wa arusha mjaribu kutembea mikoa mingine mtajifunza kitu
Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Mji wa kitaliii [emoji848]na umaskini tena!
Hapo inakuwaje sie ambao tunapaskia tu mnatuchanganya yani[emoji23]
Acha wivuGeneva? Ningekua wakili wewe nakupeleka mahakamani. Unalinganisha usafi na uchafu? huh
Mikoa mingi ukiitoa dsm inafanana kwa mengiNa Dodoma vipi mgogo wilaya zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimesoma Karatu, huko hakuna la maana yani ni hovyo hovyo tu. Mashamba na maeneo makubwa ya estates wanamiliki wazungu, mahotel ya kitalii wanamiliki wazungu na wanao kuja ku-spend ni hao hao wazungu. Watu wamedhoofu sijui ndio miili yao ipo hivyo hakuna mishe mishe zaidi ya kuuza maji kwenye ma-bus na kulima vibarua. Vumbi tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]Geneva ya Africa