Lifewithmuhasu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 231
- 438
Nataman Sana kufika Arusha na Moshi nadhani ndio mahala pekee sijawahi kanyaga hapa Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ManyaraTindiga and hadzabe nao
Mkuu kuifananisha Arusha na Kahama siyo sawa hata Kidogo,huenda uliishia maneno ya UswahiliniArusha ni mkoa makisini hilo halina ubishi.
Angalia hata pale mjini, hatua chache tu unakutana na nyumba za hovyo kuliko kawaida, mji haupanuki, mji umepangiliwa vibaya.
Arusha pamoja na potential ya utalii ambayo imekua nayo kwa miaka zaidi ya 30 lakini maendeleo hakuna.
Miji ya juzi hapa kama Kahama imekuja kuipiga chini Arusha mapema sana. Kuna senta zinakua kwa haraka miaka michache ijayo zitakua at par na arusha ama zaidi, senta kama Katoro, Runzewe, Nyakanazi, nk. Hata karatu ikipewa attention kwa miaka 5 inaifunika Arusha.
Sasa yeye amezungumzia Arusha City au amezungumzia Arusha Region!!Mkuu inamaana miaka 5 inatosha Karatu au Kahama kuipiku Arusha kama zikipewa attention?
Hivi mkuu umeshakwenda pale Halmashauri ya jiji wakakuonyesha mipango ya mji kama Bondeni City nk
Nimepata bahati ya kutembea hii nchi bado ukanda wa Meru ni mahali bora kabisa pa kuishi hapa nchini.Mimi sijasema zinafanana ila ukiangalia mzunguko wa kahama inakaribia kwa karibu sana mimi arusha ni kwetu na nimesha dalali wa viwanja kwahiyo naijua arusha kuliko unavyo dhani wewe arusha pangekuwa pamepimwa pangekuwa pazuri sana lakini ukienda sakina barabara magari hayawezi kupishana sasa hujaenda ngulelo kama unaenda oldadai au kama unaenda sorenyi sekondari mvua ikinyesha watoto hawaendi shule
Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Umeongea kwa busara sana. Utasikia mtu anajitapa kuwa anaishi Dar, Ukimfuatilia maisha anayoishi yanasikitisha sana. Hata kule vijijini wana maisha bora kabisa.Nimepata bahati ya kutembea hii nchi bado ukanda wa Meru ni mahali bora kabisa pa kuishi hapa nchini.
Mleta mada amenisikitisha mno kwa kukosa busara.
Sipendi tu kumshambulia kwa maneno maana maneno ya kibaguzi na chuki hajana faida yeyote.
Ukitaka tuchambue mkoa baada ya mkoa kuna watu watakimbia hapa maana umaskini nchi hii umekithiri mno hata hapa Dar unaweza sema watu wana uwezo ila ukweli ni kwamba majority ya watu hawana uhakika na vipato vyao.
Kwa kutambua hilo ndio maana Awamu ya tano haikukubaliana na swala la Lock down kipindi cha Korona.
Mikoa yote kwa sasa inajitahidi sana kwa maendeleo sio kama miaka ya nyuma.Nimepata bahati ya kutembea hii nchi bado ukanda wa Meru ni mahali bora kabisa pa kuishi hapa nchini.
Mleta mada amenisikitisha mno kwa kukosa busara.
Sipendi tu kumshambulia kwa maneno maana maneno ya kibaguzi na chuki hajana faida yeyote.
Ukitaka tuchambue mkoa baada ya mkoa kuna watu watakimbia hapa maana umaskini nchi hii umekithiri mno hata hapa Dar unaweza sema watu wana uwezo ila ukweli ni kwamba majority ya watu hawana uhakika na vipato vyao.
Kwa kutambua hilo ndio maana Awamu ya tano haikukubaliana na swala la Lock down kipindi cha Korona.
we inajua unachokiandika, Meru ndiyo nn, ndio wapi. Wilaya ni moja Arumeru, hakuna wilaya ya Meru
Mkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni masikini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma.
Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni kabila dogo la Wasonjo makao makuu panaitwa Loliondo, huko kuna hali mbaya, hakuna barabara ya lami, hakuna umeme gridi ya Taifa, maji ni shida, watu wake hawana Elimu na ni maskini, mimba za utotoni zimejaa huko.
Wilaya zingine kama Monduli, Longido, Meru hakuna chochote cha maana, watu wa kule wengi ni wafugaji lakin bado wanaamini katika sifa za kuwa na mifugo mingi na sio kufanya maendeleo.
Ukitoa pale Arusha mjini na kidogo Karatu, wilaya nyingine hizo hali sio shwari kabisa.
We unaota au uko macho? Nyie ni wa kuwaacha na maujinga yenu. We Arusha huijui. muonage aibu kufananisha vijiji na jiji. Nani kawaloga?Mtafute mtu ambaye hajawahi kutembelea Arusha, mfunike macho halafu akifika Tengeru mfungue kitambaa aende weeee mpaka barabara ya Dodoma, mptitishe kwenye mashamba ya kahawa, ukifika uwanja wa ndege wa kisongo mrudishe mjini weee mpaka chekeleni.
Halafu mfunike macho mpitishe barabara moja tu aingie Geita akitokea Katoro kuelekea Mwanza. Haki ya nani kijani atakayoikuta Geita na majengo yanayoshushwa atakwambia Geita ndo Arusha.
Naona mnaendeleza kampeni ya chuki dhidi ya Arusha. Watu mnajua kabisa sababu ya maendeleo mahali fulani ni serikali halafu mnakaa kupondea mkoa. Ok mfano ujenzi wa fly overs train ya umeme zilizopita Dar unafikiri Arusha au mikoa mingine nao hawapendi? It is just a matter of priorities and time. Think out of the boxMkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni masikini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma.
Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni kabila dogo la Wasonjo makao makuu panaitwa Loliondo, huko kuna hali mbaya, hakuna barabara ya lami, hakuna umeme gridi ya Taifa, maji ni shida, watu wake hawana Elimu na ni maskini, mimba za utotoni zimejaa huko.
Wilaya zingine kama Monduli, Longido, Meru hakuna chochote cha maana, watu wa kule wengi ni wafugaji lakin bado wanaamini katika sifa za kuwa na mifugo mingi na sio kufanya maendeleo.
Ukitoa pale Arusha mjini na kidogo Karatu, wilaya nyingine hizo hali sio shwari kabisa.
Wapi sehemu nyingine iliyopimwa hapa Tzn zaidi ya Dom?Mimi sijasema zinafanana ila ukiangalia mzunguko wa kahama inakaribia kwa karibu sana mimi arusha ni kwetu na nimesha dalali wa viwanja kwahiyo naijua arusha kuliko unavyo dhani wewe arusha pangekuwa pamepimwa pangekuwa pazuri sana lakini ukienda sakina barabara magari hayawezi kupishana sasa hujaenda ngulelo kama unaenda oldadai au kama unaenda sorenyi sekondari mvua ikinyesha watoto hawaendi shule
Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Barabara zilifanya mikoa mingine ionekane imeendelea hasa ya Kaskazini.Lakini kwa sasa inaonekana ni mikoa iliyochoka kwa sababu hakuna jipya Sana .Mikoa yote kwa sasa inajitahidi sana kwa maendeleo sio kama miaka ya nyuma.
Kwa Mkoa wa Mbeya na Songwe,hakuna Wilaya za kipuuziMfano wa mikoa iliyoendelea kwa kipimo cha mleta mada ni MBEYA. Ukienda Mbeya mjini moto[emoji91], Chunya moto[emoji91], Mbarali moto[emoji91], Rungwe[emoji91], Kyela[emoji91] yaani wilaya zote raia wake wana maisha. Hakuna wilaya yenye extreme poverty Mbeya.
Arumeru kuko kama Uchagani.Mkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni masikini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma.
Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni kabila dogo la Wasonjo makao makuu panaitwa Loliondo, huko kuna hali mbaya, hakuna barabara ya lami, hakuna umeme gridi ya Taifa, maji ni shida, watu wake hawana Elimu na ni maskini, mimba za utotoni zimejaa huko.
Wilaya zingine kama Monduli, Longido, Meru hakuna chochote cha maana, watu wa kule wengi ni wafugaji lakin bado wanaamini katika sifa za kuwa na mifugo mingi na sio kufanya maendeleo.
Ukitoa pale Arusha mjini na kidogo Karatu, wilaya nyingine hizo hali sio shwari kabisa.
Kilimanjaro ni level nyingine Jombaa... Wilaya zake zote zimeunganishwa kwa lami.Barabara zilifanya mikoa mingine ionekane imeendelea hasa ya Kaskazini.Lakini kwa sasa inaonekana ni mikoa iliyochoka kwa sababu hakuna jipya Sana .
Usiache kufika Kotela.Nataman Sana kufika Arusha na Moshi nadhani ndio mahala pekee sijawahi kanyaga hapa Tz