Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Hizi ni chuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatuchanganya sana tena,Arusha inavyoimbwa kwa utalii alafu nakutana na uzi kama huu nachoka kabisa.Mji wa kitaliii [emoji848]na umaskini tena!
Hapo inakuwaje sie ambao tunapaskia tu mnatuchanganya yani[emoji23]
Katoro,Runzewe,Kahama[emoji1666]Arusha ni mkoa makisini hilo halina ubishi.
Angalia hata pale mjini, hatua chache tu unakutana na nyumba za hovyo kuliko kawaida, mji haupanuki, mji umepangiliwa vibaya.
Arusha pamoja na potential ya utalii ambayo imekua nayo kwa miaka zaidi ya 30 lakini maendeleo hakuna.
Miji ya juzi hapa kama Kahama imekuja kuipiga chini Arusha mapema sana. Kuna senta zinakua kwa haraka miaka michache ijayo zitakua at par na arusha ama zaidi, senta kama Katoro, Runzewe, Nyakanazi, nk. Hata karatu ikipewa attention kwa miaka 5 inaifunika Arusha.
Bora kuuza ng'ombe na kununua bati,kutibu ng'ombe na mtoto wake (binadamu) anapata wakati mgumu kufanya maamuzi nani atangulie kupata tiba[emoji2][emoji2][emoji2]Hii dhana ya kuwa na mifugo mingi huwa inanishangaza sana, yaani hata kuuza ng'ombe mmoja apige bati anaona soo
Hahahah mbona watu wa karatu wanaishi vizuri tuu nyumba nzuri pia zipo.Mimi nimesoma Karatu, huko hakuna la maana yani ni hovyo hovyo tu. Mashamba na maeneo makubwa ya estates wanamiliki wazungu, mahotel ya kitalii wanamiliki wazungu na wanao kuja ku-spend ni hao hao wazungu. Watu wamedhoofu sijui ndio miili yao ipo hivyo hakuna mishe mishe zaidi ya kuuza maji kwenye ma-bus na kulima vibarua. Vumbi tupu
Na Dodoma vipi mgogo wilaya zake.Hata Mwanza ina sifa kama Arusha, tofauti na mjini Mwanza ,Wilaya zake zote ni hovyo na maskini wa kutupwa.
Wewe unaleta mapenzi mkuuMtafute mtu ambaye hajawahi kutembelea Arusha, mfunike macho halafu akifika Tengeru mfungue kitambaa aende weeee mpaka barabara ya Dodoma, mptitishe kwenye mashamba ya kahawa, ukifika uwanja wa ndege wa kisongo mrudishe mjini weee mpaka chekeleni.
Halafu mfunike macho mpitishe barabara moja tu aingie Geita akitokea Katoro kuelekea Mwanza. Haki ya nani kijani atakayoikuta Geita na majengo yanayoshushwa atakwambia Geita ndo Arusha.
Mkuu sasa hapa umezidiKuna mitaa ya Sombetini, Ungalimited, Matejoo, Daraja mbili Kwao mkuu wa wilaya kisarawe, Ngarenaro, Uswahilini, Ngusero, na Moromboo ukifika huko unasikia harufu ya umasikini uliopitiliza watoto wa huko hawasomi wazazi ni walevi wa dadii na gongo mimba za utototoni nje nje.
Miundo mbinu mibovu nyumba za udongo wenyewe wanaziita mbavu za mbwa ukitembea hatua mbili unakutana na wavuta bangi wachafu alafu wamejazana ujinga ujinga tu kichwani kiufupi ukiishi huko nikama uko jehanamu
wanatuchanganya sana tena,Arusha inavyoimbwa kwa utalii alafu nakutana na uzi kama huu nachoka k
Geneva? Ningekua wakili wewe nakupeleka mahakamani. Unalinganisha usafi na uchafu? huh
Maskini zimejaa Arusha, naamini huu ndio mkoa wenye uswahilini nyingi nchi nzima. Atown ni mjini tu huko kwingine ni takataka, hakuna la maanaArusha huwezi fananisha na hiyo mikoa yenu takataka....hizo wilaya umezitaja zote za Longido, Monduli, Loliondo, Ngorongoro ni wilaya za wafugaji ( wamasai), ambao maisha yao ni ya kuhamahama...ajabu nini sasa? Acha kuaminisha watu uongo
Utoto tu wa watu kujikwezaMji wa kitaliiina umaskini tena!![]()
Hapo inakuwaje sie ambao tunapaskia tu mnatuchanganya yani![]()
Hebu tuambie Mkoa Tajiri ni Upi Sasa kama Arusha ni Masikini?Arusha ni mkoa makisini hilo halina ubishi.
Angalia hata pale mjini, hatua chache tu unakutana na nyumba za hovyo kuliko kawaida, mji haupanuki, mji umepangiliwa vibaya.
Arusha pamoja na potential ya utalii ambayo imekua nayo kwa miaka zaidi ya 30 lakini maendeleo hakuna.
Miji ya juzi hapa kama Kahama imekuja kuipiga chini Arusha mapema sana. Kuna senta zinakua kwa haraka miaka michache ijayo zitakua at par na arusha ama zaidi, senta kama Katoro, Runzewe, Nyakanazi, nk. Hata karatu ikipewa attention kwa miaka 5 inaifunika Arusha.