Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Acheni upuuzi uwez kufananisha arusha na mikoa ya kipuuzi puuzi pale arusha kupata kiwanja mfno moshono 20*20 huna milion ishirini hujakah hapo achilia mbali gomba estate na burka ndugu Kama huna 40 milion hupati kiwanja

Sas ruvuma huko sijui songea milion mbili tu unapata kiwanja Tena mjini kbsa hzo ishu uwez kuta Arusha babu

Ukienda namtumbo kiwanja laki tano unapata kbsa na hati juu
Ngorongoro, Londido, Meru, Monduli unajua kiwanja sh ngapi? Hatuzungumzii Arusha mjini bali Arusha kama mkoa
 
Sometimes kuna mada unaziangalia unawaza kama alieleta na wanaomuunga mkono wanatumia kushabu au la.

Kama kusema wakazi wakuu wa Ngorongoro ni Wasonjo inathibitisha haujui unalolisema.

Japo kuna vitu haviko sawa lakini sio kwa Arusha tu ni tatizo la nchi nzima hata Dar mjini kati nenda hapo Magomeni tu ni kubaya kinyama.

Sasa sijui kwanini wengi mnapenda kui single out Arusha. Nadhani ni wivu tu umewajaa.
Sasa wakazi wa Ngorongoro ni kabila gani? Pale Wasso/Lolliondo ambapo ni makao makuu, kabila lipi limetawala?
 
Sasa wakazi wa Ngorongoro ni kabila gani? Pale Wasso/Lolliondo ambapo ni makao makuu, kabila lipi limetawala?
Mkuu wewe ni mwenyeji wa mkoa gani kwanza na hapo Loli umefika lini? Maana kwa akili yako unajua kuwa Loli ndio Ngorongoro yote.

Naomba nikufahamishe kuwa Ngorongoro kabila kubwa ni Wamasai na Loliondo ni sehemu ndogo sana tu ya wilaya ya Ngorongoro.

Unapajua Orlpalpal wewe? Nainokanoka? Orgosorok?
 
Wamasai wengi wanaishi mbugani, na kule inafahamika hawaruhusiwi kujenga makazi ya kudumu na ndo maana nikawazungumzia Wasonjo ambao wapo Sare, Digodigo n.k, na Loliondo ndo makao makuu ya Ngorongoro, kuna nini cha maana pale? Tena kwa Ngorongoro bora Monduli kdg. Ngorongoro na Longido ni mtu na mjomba wake, Kwa Arusha mjini sikatai imeendelea sana, ila Wilaya zake hapana kwa kweli, zina hali mbaya sana.
 
Ni kweli mdau anacho sema mimi nimezaliwa arusha naishi arusha napajua arusha kwa kila kitongoji mji wa arusha kwanza haujapimwa barabara za mitaa ukiwa na gari huwezi kupishana na boda sembuse makazi horera na nyumba za kale kama pele ngarenaro ni klm 1 toka katikati ya jiji hapo hujaenda matejo hukaenda esso unga ltd yani ni paajbu sana tatizo la wakazi wa arusha hawatembei sana akitembea sana kaenda dar kwahiyo hayo unayo sema lazima abishane kwakuwa hajatembea miji mingine

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu umeliona hilo, Kwa mfano Wilaya za Ruvuma zimeendelea ukifananisha na Wilaya za Arusha, Longido, Ngorongoro, Monduli huwezi kufananisha na Mbinga, Namtumbo, Tunduru, huo ndo ukwel, Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma Zimepitiwa na umeme gridi ya Taifa, zina barabara za lami.
 
Mbinga pameendelea sana. Mji mmoja safi sana.
 
Wamasai wengi wanaishi mbugani, na kule inafahamika hawaruhusiwi kujenga makazi ya kudumu na ndo maana nikawazungumzia Wasonjo ambao wapo Sare, Digodigo n.k, na Loliondo ndo makao makuu ya Ngorongoro, kuna nini cha maana pale? Tena kwa Ngorongoro bora Monduli kdg. Ngorongoro na Longido ni mtu na mjomba wake, Kwa Arusha mjini sikatai imeendelea sana, ila Wilaya zake hapana kwa kweli, zina hali mbaya sana.
Unaanza kujikanyaga kanyaga sasa.

Anyways asiejua maana haambiwi maana.
 
Mkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni maskini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma.

Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni kabila dogo la Wasonjo makao makuu panaitwa Loliondo, huko kuna hali mbaya, hakuna barabara ya lami, hakuna umeme gridi ya Taifa, maji ni shida, watu wake hawana Elimu na ni maskini, mimba za utotoni zimejaa huko.

Wilaya zingine kama Monduli, Longido, Meru hakuna chochote cha maana, watu wa kule wengi ni wafugaji lakin bado wanaamini katika sifa za kuwa na mifugo mingi na sio kufanya maendeleo.

Ukitoa pale Arusha mjini na kidogo Karatu, wilaya nyingine hizo hali sio shwari kabisa.
Nakubali
 
Back
Top Bottom