Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Kwa hiyo Arusha ipo sawa Singida au Singida ipo juu zaidi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mmmh hiii kali ipeni arusha heshima yake wakuu sioni sehemu nzuri ya kuishi zaidi ya arusha kwa sasa nmetembea kote still arusha ni heaven
 
Mmmh hiii kali ipeni arusha heshima yake wakuu sioni sehemu nzuri ya kuishi zaidi ya arusha kwa sasa nmetembea kote still arusha ni heaven
Mtoa mada hazungumzii Arusha mjini anazungumzia Hali ya wilaya zake

Je longido ni sehemu bora ya Kuishi?
 
kisongo heka laki 7, ngoja tukubali tu
 
Kwa jicho la Mzungu Bill Clinton, Arusha ilipaswa ipangiliwe kwa miundombinu na hali ya maisha ya watu, ili ifanane na jiji la Geneva.

Kwa jicho la mtu mweusi, Arusha imetelekezwa na kuhujumiwa, ikabakia na watu waswahili, maskini, walevi, na wenye kila aina ya matatizo.
Miundombinu imeachwa au kuendelezwa kimaskini hasa. Hatimaye imekuwa jiji la hovyo linalopitwa mpaka na vimji vidogo vidogo.

Siku mtu akisema mtu mweuzi yawezekana alilaaniwa mtapinga. Lakini ingependeza kama mtapinga kwa kutumia mafanikio na maisha halisi ya mtu mweusi.
 
Kwa mtu ambae hajatembea anaweza kusema arusha ni kuzuri lakini kwa sio tulio tembea mikoa mingine arusha imeshuka sana

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…