kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo.
Leo aliyokuwa anayafanya bila kufuata mfumo wa haki yameanza kumwomwonyoa Taifa. Kitendo Cha Mikoa kama Tabora na Morogoro kubaki bila kumegwa na kwenda kumegwa CHAto ambayo Ina 36km kutoka makao Makuu ya mkoa ni ishara mbaya Kwa wanaoona kesho.
Tibaijuka na Mwenyekiti wa Halmashauri wanatukanana hadharani kwenye vyombo vya habari. Mwenyekiti Halmashauri anafika mahali anasema eneo flan ni la kabila flani na flani, anawatukana wazee wa Bukoba nk lakini hakuna anayejiuliza kesho ya haya. Tuombe yaishe salama.
Ila kama tunaitakia mema Tanzania basi tuache kucheza na amani ya Mikoa ya mipakani, majirani zetu Wapo macho wanatuangalia tunavyoishi na watatuingilia Kwa sababu TU wanajua miyoyoni hatupo wamoja Ila nje tunaonyesha tupo pamoja. Mama Tibaijuka na wazee wa Kagera wameambiwa wanyamaze kimya na kama wanaiona Mleba ni Lulu basi wakae nayo Ila wasiingilie ya chato. Chato ni sehemu Takatifu.