Maelezo yJohn Chenge alipigania na Alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao BARIADI ukaitwa Mkoa wa SIMIYU aliimega Mwanza na Shinyanga.
Edward Lowasa alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao MANYARA aliiimega Arusha.
MIZENGO PINDA alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao KATAVI aliiimega RUKWA.
Njombe ilianzishwa kwa Mkoa wa Iringa kumegwa. Mikoa yooote hii imeanzishwa 2012 au kabla.
Mkoa wa CHATO ili nao uanzishwe sharti mikoa jirani ya Geita na Kagera imegwe kwani siyo jambo geni halijaaanza leo wala jana. Pia MAGUFULI siyo Kiongozi wa kwanza kuanzisha Mkoa kwenye eneo alikozaliwa. Nimeweka Viongozi wengine hapo juu ambao wameanzisha Mikoa mipya kwenye maeneo walikozaliwa.
Tunapoijadili CHATO Tuangalie utimilifu wa vigezo vya kuanzisha mkoa bila kujali MUASISI, KABILA wala Ushabiki wenye mihemko vinginevyo hatujadili hoja bali viroja.
Uanzishwaji huu wa mikoa ulio uonesha ni tofauti kabisa na hili suala la Chato na tofauti hii Ndiyo inayoleta hoja zenye ukakasi na hisia za upendeleo. Ona utofauti wake;John Chenge alipigania na Alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao BARIADI ukaitwa Mkoa wa SIMIYU aliimega Mwanza na Shinyanga.
Edward Lowasa alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao MANYARA aliiimega Arusha.
MIZENGO PINDA alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao KATAVI aliiimega RUKWA.
Njombe ilianzishwa kwa Mkoa wa Iringa kumegwa. Mikoa yooote hii imeanzishwa 2012 au kabla.
Mkoa wa CHATO ili nao uanzishwe sharti mikoa jirani ya Geita na Kagera imegwe kwani siyo jambo geni halijaaanza leo wala jana. Pia MAGUFULI siyo Kiongozi wa kwanza kuanzisha Mkoa kwenye eneo alikozaliwa. Nimeweka Viongozi wengine hapo juu ambao wameanzisha Mikoa mipya kwenye maeneo walikozaliwa.
Tunapoijadili CHATO Tuangalie utimilifu wa vigezo vya kuanzisha mkoa bila kujali MUASISI, KABILA wala Ushabiki wenye mihemko vinginevyo hatujadili hoja bali viroja.
Mikoa yote uliyoitaja na iliyoanzishwa huko nyuma zili
chukuliwa wilaya chache ndani ya mkoa huo huo na kuunda mkoa mwingine. Ktk mifano uliyoitoa hakuna wilaya iliyomegwa kutoka mkoa mwingine. Mfano mkoa wa Katavi ulichukua wilaya mojawapo na kuigawa katika halmashauri nyingi na kuwa mkoa, haikumega wilaya yoyote ya mkoa mwingine jirani ama wa Tabora au Kigoma, au Mbeya.