Kama hitaji la mkoa kisheria linakidhi.Upuuzi mtupu,Chato peke yake haijitoshelezi kuwa mkoa ndio sababu inataka wilaya za mikoa mingine it can't stand alone.
1.Makao makuu yawe nje ya Chato.
2.Jina la mkoa liwe nje ya Chato.
Ugomvu wote ni marehemu.
Angekuwa hai hata mkuu wa mkoa angekuwa tayari yupo Chato na hakuna wakubisha.
Jiji la Dodoma nani alijadili