Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita
Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini
Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali ingeifanya Geita kuwa kanda maalum ya kipolisi ili kukabiliana na mauji haya