Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

Kuna kitu nitasema ila nitaitwa mkabila. Ila ni hivi, ukiachana na tulivyoaminishwa mitandaoni humu kabila hatarishi kuishi nalo kwa sasa ni hilo hapo silitaji...
Wasukuma na wachaga hao unawaogopa nn.
 
Geita na mauaji hauwezi kutenganisha, tangu enzi zile wakichinja albino ili wapate utajiri, kuchinja wazee kwa uchawi, wanawake kutupa vichanga ili wakajiuze
Hii ya kutupa watoto ili wakajiuze bado ipo sana.

Hawana huruma hawa watu
 
Geita kiasilia ni eneo la wazinza wasumbwa na walongo na si eneo la wasukuma Bali ni wahamiaji tu. Kuhusu mauaji inatokana na asili ya jina Geita, Geita inatokana na maneno ya lugha ya asili ya wazawa wa eneo hili "akabanga keta abantu" fuatilia maana yake utajua kwa nini mauaji ni mengi.
 
Sehemu ikishakuwa na kundi kubwa la Wajinga tegemea Mauaji ya hali ya juu.

Mjinga ni mtu hatari sana anaweza ambiwa chochote kile hata mauaji, Aka tekeleza pasipo kufikiri hata nukta.

Ogopa wajinga, ukisha kuwa na jamii ya wajinga unafiki,chuki,wivu, Tamaa,husda,kinyongo, imani za kishirikina Lazima ziwepo kwa watu hao wajinga.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tanganyika ilikua na wajinga(kwa tafsiri yako) wengi tu huko nyuma,na Wala hawakuwa wakiuana
 
Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita

Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini

Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali ingeifanya Geita kuwa kanda maalum ya kipolisi ili kukabiliana na mauji haya

View attachment 2523826View attachment 2523827View attachment 2523828View attachment 2523829View attachment 2523830View attachment 2523831View attachment 2523832View attachment 2523833View attachment 2523836
Kanda ya Ziwa ujinga umezidi!
 
Kuna kitu nitasema ila nitaitwa mkabila. Ila ni hivi, ukiachana na tulivyoaminishwa mitandaoni humu kabila hatarishi kuishi nalo kwa sasa ni hilo hapo silitaji. Kama unabisha tazama mauaji yao yalivyo, at least kuna kabila linauana kwa sababu ya mali tu kwa hiyo kama huna hela uko safe nao ila hawa ndugu zetu wa kanda ya ziwa hata mjamzito wanaua, kibibi kizee wanaua, albino wanaua, mgeni, mtoto, mama mkwe, kichanga kilichozaliwa, maskini tena hao ndio wanauwawa zaidi, mfanyakazi katongozwa kakataa. Zamani nilijua wanaua albino tu nikawa najisemea hapa si wanaelimishwa na sheria kali zinatungwa wanaacha, kumbe wanauana kivyovyote.

Njia zenyewe za mauaji ni za kikatili. Ukiwasoma saikolojia na ukaishi nao in their purest form unawaona kabisa hawa watu kuna juhudi zinahitajika kuwaondoa kwenye giza. Ukatili, ushamba, roho mbaya, ubabe wa kijinga sio vitu vya kufagilia kwenye modern society.

This is 21st century acheni ujinga ishi kama binadamu acha uhayawani mnauana ili iweje. Ukiniita mkabila (probably nimetaja jamii yako) subiri mzazi wako auwawe uko kwenu. Aya mambo ya kuchekeana ndio yanawalemaza, ikitungwa sheria ya dharura anayeua kikatili waziwazi anapata summary execution uwanjani watu wanashuhudia mbona watu wataacha.

Hili niliwahi kulisema humu.

Mtag To yeye maana kuna kitu hakijui
 
Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita

Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini

Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali ingeifanya Geita kuwa kanda maalum ya kipolisi ili kukabiliana na mauji haya

View attachment 2523826View attachment 2523827View attachment 2523828View attachment 2523829View attachment 2523830View attachment 2523831View attachment 2523832View attachment 2523833View attachment 2523836
Asilimia kubwa ya wakazi wa mkoa huo ni wahamiaji wa Kihutu kama ilivyokuwa Jiwe ndiyo maana hata yeye alikuwa muuaji wa kutisha, hao na Jiwe ni pipa na mfuniko.
 
Geita imekuwa Somalia na Sudan ya Tanzania.

Leo yametokea mauaji tena Geita wilaya ya Nyang’wale , wameuawa wananchi 3 naJeshi la polisi limepiga kimya.

Nchi imeendelea kuwa ngumu hii.
 
Back
Top Bottom