Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

Kuna kitu nitasema ila nitaitwa mkabila. Ila ni hivi, ukiachana na tulivyoaminishwa mitandaoni humu kabila hatarishi kuishi nalo kwa sasa ni hilo hapo silitaji...
Wasukuma na wachaga hao unawaogopa nn.
 
Geita na mauaji hauwezi kutenganisha, tangu enzi zile wakichinja albino ili wapate utajiri, kuchinja wazee kwa uchawi, wanawake kutupa vichanga ili wakajiuze
Hii ya kutupa watoto ili wakajiuze bado ipo sana.

Hawana huruma hawa watu
 
Geita kiasilia ni eneo la wazinza wasumbwa na walongo na si eneo la wasukuma Bali ni wahamiaji tu. Kuhusu mauaji inatokana na asili ya jina Geita, Geita inatokana na maneno ya lugha ya asili ya wazawa wa eneo hili "akabanga keta abantu" fuatilia maana yake utajua kwa nini mauaji ni mengi.
 
Sehemu ikishakuwa na kundi kubwa la Wajinga tegemea Mauaji ya hali ya juu.

Mjinga ni mtu hatari sana anaweza ambiwa chochote kile hata mauaji, Aka tekeleza pasipo kufikiri hata nukta.

Ogopa wajinga, ukisha kuwa na jamii ya wajinga unafiki,chuki,wivu, Tamaa,husda,kinyongo, imani za kishirikina Lazima ziwepo kwa watu hao wajinga.



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tanganyika ilikua na wajinga(kwa tafsiri yako) wengi tu huko nyuma,na Wala hawakuwa wakiuana
 
Kanda ya Ziwa ujinga umezidi!
 

Hili niliwahi kulisema humu.

Mtag To yeye maana kuna kitu hakijui
 
Asilimia kubwa ya wakazi wa mkoa huo ni wahamiaji wa Kihutu kama ilivyokuwa Jiwe ndiyo maana hata yeye alikuwa muuaji wa kutisha, hao na Jiwe ni pipa na mfuniko.
 
Geita imekuwa Somalia na Sudan ya Tanzania.

Leo yametokea mauaji tena Geita wilaya ya Nyang’wale , wameuawa wananchi 3 naJeshi la polisi limepiga kimya.

Nchi imeendelea kuwa ngumu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…