Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira

Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira

Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini kwa wakati mmoja ili kuondoa changamoto za viwanja kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Image may contain: sky, mountain, outdoor and nature
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]maajabu ya dunia tunayaona awamu hii,yani mtu aende kuangalia mpira huko aliwe na fisi za burigi au kugongwa na nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dili za mwanza zinamezwa na chattle...,na mwakani chattle tunajenga mall.
 
Hata mimi nikiukwaa urais,Iramba inakuwa mkoa unaojitegemea na Singida nzima inakuwa kama Dubai
 
Huo mji wa geita wenyewe nadhani wakazi wake ni chini ya elfu themanini, hakhna Hotel hata ya nyota mbili zaidi vi guest houses vingine vinajiita hotels. Hao mashabiki 80k how will they be accommodated!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wasijenge uwanja unaoendana na idadi ya watazamaji wanaoweza kuujaza? Wakajenga uwanja wenye mashabiki wachache let say 30000 lakini ukawa bora.
Je, wamefanya demographic projection?
Je, wamezingatia aina ya timu zinazoweza kuujaza huo uwanja?
Je, ule wa Dodoma umeishia wapi kabla hatujaanza huu mwingine wa Geita?
Hapa nahisi kuna kitu hakipo sawa.
 
Ule wa Dodoma si ni mpk yule mfalme wa Morocco atoe mpunga au?
 
Kwa ukubwa wa uwanja huko, wajitahidi kuinunua moja kati ya club hizi za kakiakoo
Vinginevyo uwanja utakuwa wa maoneshooo
 
Back
Top Bottom