Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira

Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira

Wa kuchezea nani...jiwe na famillia yake au

Dark Side
 
UWANJA wa $300 million up to $500 million pesa ipo lakini pesa ya kuongeza mshahara hakuna.
😳😳😳😳

Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini kwa wakati mmoja ili kuondoa changamoto za viwanja kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Image may contain: sky, mountain, outdoor and nature
 
Back
Top Bottom