tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]maajabu ya dunia tunayaona awamu hii,yani mtu aende kuangalia mpira huko aliwe na fisi za burigi au kugongwa na nyoka
Kuna CCM kirumbaKwann usijegwe jijini Mwanza?
Huo mji wa geita wenyewe nadhani wakazi wake ni chini ya elfu themanini, hakhna Hotel hata ya nyota mbili zaidi vi guest houses vingine vinajiita hotels. Hao mashabiki 80k how will they be accommodated!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu.Haya boss endelea
Ule wa Dodoma si ni mpk yule mfalme wa Morocco atoe mpunga au?Kwa nini wasijenge uwanja unaoendana na idadi ya watazamaji wanaoweza kuujaza? Wakajenga uwanja wenye mashabiki wachache let say 30000 lakini ukawa bora.
Je, wamefanya demographic projection?
Je, wamezingatia aina ya timu zinazoweza kuujaza huo uwanja?
Je, ule wa Dodoma umeishia wapi kabla hatujaanza huu mwingine wa Geita?
Hapa nahisi kuna kitu hakipo sawa.
Mkuu, ulipojengwa uwanja mpya wa ndege pale Chita <100km, Mwz haukuwepo?Kwann usijegwe jijini Mwanza?