Huo mji wa geita wenyewe nadhani wakazi wake ni chini ya elfu themanini, hakhna Hotel hata ya nyota mbili zaidi vi guest houses vingine vinajiita hotels. Hao mashabiki 80k how will they be accommodated!!!
Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini kwa wakati mmoja ili kuondoa changamoto za viwanja kwa mikoa ya kanda ya ziwa.